Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Inasikitisha sanavikwazo ni vingi sana
View attachment 3417235
Inabidi kubadili mitazamoThe game of life is brutal but still fair.
Na ukishalitambua hilo, utakuwa umejinusuru kwenye magonjwa kama presha, wasiwasi/hofu, sukari n.kUkifikiria saaaana aya maisha, utaina bora ukakae zako Tukuyu uwe unalima na kula vizuri sio kuangaika na foleni za Kimara.
Kabisa mdau. Maisha yana mengi kiasi kwamba ukiyawaza unaishia kuhisi kama kichwa kinataka kypasukaUkifikiria saaaana aya maisha, utaina bora ukakae zako Tukuyu uwe unalima na kula vizuri sio kuangaika na foleni za Kimara.
Kabisa mdau. Maisha yana mengi kiasi kwamba ukiyawaza unaishia kuhisi kama kichwa kinataka kypasukUkifikiria saaaana aya maisha, utaina bora ukakae zako Tukuyu uwe unalima na kula vizuri sio kuangaika na foleni za Kimara.
The best option ni kuweka mpaka wa do and don'ts.. hii itasaidia katika kutowakanyaga binadamu wenzakoInabidi kubadili mitazamo
Bora kurudi kijijini tuMaisha haya, ukitulia kama ndege nani atapay bills zako sasa
🤣🤣vikwazo ni vingi sana
View attachment 3417235
😁Maisha haya, ukitulia kama ndege nani atapay bills zako sasa
Bado haisaidii Kuna maradhi Chakula Ardhi vyote vina hitaji pesaBora kurudi kijijini tu
Too much harmful ni kuwanyima watu uhuruUhuru ulio pitiliza ni chanzo Cha hatari katika Uhuru "TOO MUCH IS HARMFUL".