Kwa nini Tweeter ya Mama ina habari ya vifo na pongezi tu?

Kwa nini Tweeter ya Mama ina habari ya vifo na pongezi tu?

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Wenzetu huko nje unakuta tweeter ya Rais imesheheni taarifa muhimu kwa ajili ya wananchi, kiuchumi, kisiasa, kijamii n.k.

Tunaweza kubadilika na sisi?!
 
Viongozi wengi wa Afrika wanaigiza tu kumiliki akaunti za mitandao ya kijamii, maana hawajzitumii vema kws kutoa hoja na kuibu hoja za wananchi.

Nimeona rais wa Zambia HH anapigwa maswali na wananchi Kisha kuyajibu huko huko Twitani
 
Ndiyo trend za habari zilivyo Tanzania, angalia YouTube, Instagram, Facebook na mitandao ya kijamii habari ndiyo hizo pongezi kwa kupata ulaji, tanzia, mazishi, skandali za ma-celeb, 'mzungu' n.k lakini habari za kina, uchambuzi na kuelimisha ni chache sana.

Habari za kutokea Tanzania ni za kijamii zaidi tena za mtaa.

Upo umuhimu wa kuwa na mchanganyiko wa habari zaidi motomoto za kila aina ikiwemo hizo zinazo trendi sana kwa sasa zile zetu za kijamii, kidini na kiimani kama kishirikina n.k

Tunajua utamaduni wetu unaegemewa wapi lakini tujiongeze katika suala la matumizi mapana ya mitandao, vyombo vya habari na TEHAMA .
 
Wenzetu huko nje unakuta tweeter ya Rais imesheheni taarifa muhimu kwa ajili ya wananchi, kiuchumi, kisiasa, kijamii n.k.

Tunaweza kubadilika na sisi?!
Usihofu itayofuatia ni ya Jf member kuula🏃
 
Wenzetu huko nje unakuta tweeter ya Rais imesheheni taarifa muhimu kwa ajili ya wananchi, kiuchumi, kisiasa, kijamii n.k.

Tunaweza kubadilika na sisi?!

Haya yote ni matunda ya Uvamizi uitwao muungano , Watu walikuja kuuwa watu Zanzibar ili kujifanya kuunganishau na Tanganyika ili wapate chaka la kuiba na kuwaziba macho waTanganyika.
 
Back
Top Bottom