Mimi naamini maisha ya uchumba ni mazuri mno mnaweza mkaa hata miaka 20 mkiwa wachumba lakini ukitangaza ndoa tu basi utamu wote unapotea na kuwa shubiri ni bora watu mkaishi kiuchumba uchumba tu ndoa mje mfunge uzeeni.
yani bigup nimeipenda yani usitangaze ndoa atjituma kweli

Yeah unajua hata adabu inakuwepo full heshima si anajua mda wowote utammwaga kwa hiyo lazima ajiheshimu.
Mmmh!! mengine wala sio mapito ila makao. Ingawa tunahitaji case-study za kutosha ili tuwe imara zaidi. Kuna mdau ameshajitoa kuwa case-study i think some of us need to learn there. Mkuu Pdidy nawe waweza kutoa casestudymsiogope kuoa yote ni mapito
Mimi naamini maisha ya uchumba ni mazuri mno mnaweza mkaa hata miaka 20 mkiwa wachumba lakini ukitangaza ndoa tu basi utamu wote unapotea na kuwa shubiri ni bora watu mkaishi kiuchumba uchumba tu ndoa mje mfunge uzeeni.
Ni ipi hiyo Vangi??
Naomba waliotimiza haya kabla ya kuoana walist majina yao hapa itasaidia kujenga morali ya watu kuheshimu uchumba. Please kama una uhakika list your name here, sio lazima lakini nisipopata majina ya kuprove hypothesis zenu then itakuwa ngumu sisi ambao hatujaoa kuwa na uhakika na kile mnachokihubiri hapahakuna kumegana/kuonjana kabla ya kufunga ndoa. Huu utakuwa msingi mkubwa.
is it bra AW? please explain, umeoa bra?ndoa ni manunuzi ya utamu wa uchumba.
Mimi nafikiri niko tofauti kidogo kwani naona kwangu ndoa ni TAMU kuliko maisha ya uchumba. Yako mambo mazuri na matamu ambayo nisingeweza kumfanyia mke wangu au yeye kunifanyia wakati wa uchumba lakini leo tunafanyiana.
Hata hivyo ninaelewa point yako ambayo inatokana na watu kusahau ule upendo wao wa kwanza kwa wenzi wao. Kinachotakiwa ni kuwa unayemuoa/unayeolewa naye awe ni chaguo lako pekee la moyo wako na hakuna kumegana/kuonjana kabla ya kufunga ndoa. Huu utakuwa msingi mkubwa.
Ifike mahali hata kama Mungu angetoa ruhusa ya kuvunja ndoa zote na akaruhusu watu kuoana/kufunga ndoa upya na kutoa uhuru wa umchague umtakaye bado uwe RADHI na UTAMANI kuoana na huyo aliyekuwa wako.
Ninamshukuru Mungu kuwa kwa ndoa yangu ya miaka tisa bado mke wangu ni mzuri na mtamu kwangu na sitamani nimkose hata siku moja kwa hiyo siko miongoni mwa wale wanaotamani kukimbia ndoa.