Hata mimi sijui ila nadhani ni gharama zimepanda za uoneshwaji zimepanda.
Kumbuka hata baadhi ya mechi tunazoangalia hususani World Cup na Afcon huwa tunachakachua kutoka Channel za wenzetu.
Sasa na wao wakikosa kibali au wakiwa wanalipia pesa nyingi sisi huku tunaambulia patupu.