Kwa nini uimiliki kwa gharama wakati zinakodishwa kwa gharama nafuu?

hitler2006

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2014
Posts
489
Reaction score
454
Huwa najiuliza mtu unaingia gharama kubwa, unainvest muda, pesa na hisia. Wengine mpaka wanakosana na majirani na ndugu kisa hii kitu eti ni mali yangu sitaki kushare na mtu.

Wakati kila mtaa unaopita siku hizi unakuta zimepangwa tu zinakodishwa unatumia unaachana nayo hakuna tena mambo ya uchakavu.

YANI ALIYEBUNI BIASHARA YA KUKODISHA BAISKELI APEWE MAUA YAKE,WATU WANAENDESHA TU.
 
Kuku kapanda baiskeli bata kavaa raizoni
 
Your browser is not able to display this video.
 
Walipe Kodi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…