Kwa nini ujenzi wa maghorofa umeshamiri kariakoo?

Thamani ya pesa yetu vs foreign currency ie $ inazidi kudorora
ukiweka 3b leo baadae mwakani unakuta ni 2.9b
Waloweka pesa ndani wanaona bora waweke kwenye assets sababu thamani yake inapanda na sio kushuka
Kweli umenifungua macho. Na pia hata ukiziweka benki hizo pesa serikali itataka kujua chanzo chake
 
Thamani ya pesa yetu vs foreign currency ie $ inazidi kudorora
ukiweka 3b leo baadae mwakani unakuta ni 2.9b
Waloweka pesa ndani wanaona bora waweke kwenye assets sababu thamani yake inapanda na sio kushuka
Yes. Solution ni kufungua account ya Dollar au kununua assets..

Dollar januari ilikuwa 2300 sasa ni 2700 kwenye banks na 3000 kwenye black markets...
Halafu tuna governor wa benk kuu na waziri wa fedha wako.kimya...

Nawahurumia hata wale wanaofanya UTT AMIS...eti wanawekeza hela huko na sh inazidi kuporomoka....sijui wanategemea nini
 
Shilingi inaporomoka dhidi ya dola na si yenyewe kama yenyewe.

Niweke milioni 500 UTT huku kila mwezi ikinipa riba zaidi ya milioni 2, utanishawishi vipi kuwa milioni 500 yangu inapoteza nguvu yake?.

Hili suala la pesa kupoteza thamani huwa halina majibu yenye mashiko miaka yote. Unaweza kuweka milioni 500 kwenye biashara na ukaishia kula hasara pia.
 
Thamani ya pesa yetu vs foreign currency ie $ inazidi kudorora
ukiweka 3b leo baadae mwakani unakuta ni 2.9b
Waloweka pesa ndani wanaona bora waweke kwenye assets sababu thamani yake inapanda na sio kushuka
Umejibu kitaalam sn mjumbe hela kukaa benki zaidi ya mwaka kwa bongo n hasara kwako
 
Back
Top Bottom