Kwa nini ujenzi wa maghorofa umeshamiri kariakoo?

Kwa nini ujenzi wa maghorofa umeshamiri kariakoo?

Habari zenu wana JF.

Kuna jambo gani ambalo linaendelea kariakoo maana kila ukienda kuna ghorofa lishavunjwa kwa ajili ya kujenga jingine. Ni kwamba bei ya vifaa vya ujenzi imeshuka au vipi?
Mkuu ukweli Maghorofa yanayojengwa kwa Wingi kkoo ni ya Serikali (NHC) yaaani wamebomoa yale majengo yao ya Kizamani wanajenga Mijengo mipya ya maaana. Mtindo unaotumika ni mtindo wa ubia kati ya Watu Binafsi na Serikali. Muda ni wako changamkia fursa, jichagulie Jengo kuukuuu la NHC nenda na ramani na bank statement Inayoonyesha uko vzuri, uombe mkataba uanze kushusha floor za maaana.
Narudia changamkia fursa wakati ni sasa!
Kwaheri
 
Back
Top Bottom