Azniv Protingas
JF-Expert Member
- Oct 29, 2020
- 335
- 554
Kwanzia nianze kusoma comment jf hii ni comment moja nzuri na logical kuliko zote humu jf. Nice ans mkuu👍Thamani ya pesa yetu vs foreign currency ie $ inazidi kudorora
ukiweka 3b leo baadae mwakani unakuta ni 2.9b
Waloweka pesa ndani wanaona bora waweke kwenye assets sababu thamani yake inapanda na sio kushuka
Mambo vp upo powaa nduguSi wanatumia pesa zao
Niko poa sana how about uMambo vp upo powaa ndugu
Kweli umenifungua macho. Na pia hata ukiziweka benki hizo pesa serikali itataka kujua chanzo chakeThamani ya pesa yetu vs foreign currency ie $ inazidi kudorora
ukiweka 3b leo baadae mwakani unakuta ni 2.9b
Waloweka pesa ndani wanaona bora waweke kwenye assets sababu thamani yake inapanda na sio kushuka
Kweli pesa ipo sio kwa mijengo inayoshushwa kila sikuPesa ipo kipindi hiki Cha mama Ila kile kipindi Cha the late JPM ujenzi wa ghorofa kariakoo ilikua kwa kias kidogo Sanaa..
Jitu zima ovyo wewe!Mama kamwaga mapesa mtaani,waulize watumishi wa umma jnsi wanavyofurahia uwepo wa mama Samia,binafsi natamani awepo Hadi 2042
Ahsante sanaJitu zima ovyo wewe!
Yes. Solution ni kufungua account ya Dollar au kununua assets..Thamani ya pesa yetu vs foreign currency ie $ inazidi kudorora
ukiweka 3b leo baadae mwakani unakuta ni 2.9b
Waloweka pesa ndani wanaona bora waweke kwenye assets sababu thamani yake inapanda na sio kushuka
Shilingi inaporomoka dhidi ya dola na si yenyewe kama yenyewe.Yes. Solution ni kufungua account ya Dollar au kununua assets..
Dollar januari ilikuwa 2300 sasa ni 2700 kwenye banks na 3000 kwenye black markets...
Halafu tuna governor wa benk kuu na waziri wa fedha wako.kimya...
Nawahurumia hata wale wanaofanya UTT AMIS...eti wanawekeza hela huko na sh inazidi kuporomoka....sijui wanategemea nini
Fresh aiseeNiko poa sana how about u
Umejibu kitaalam sn mjumbe hela kukaa benki zaidi ya mwaka kwa bongo n hasara kwakoThamani ya pesa yetu vs foreign currency ie $ inazidi kudorora
ukiweka 3b leo baadae mwakani unakuta ni 2.9b
Waloweka pesa ndani wanaona bora waweke kwenye assets sababu thamani yake inapanda na sio kushuka