Kwa nini ujiue kwa kutemwa na mpenzi wako?

Kwa nini ujiue kwa kutemwa na mpenzi wako?

DOTTO MUNGO

Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
15
Reaction score
1
Kukosa taarifa nzuri, hasira na maamzi yasiyo ya busara yanapelekea wengi kujiua/kujinyonga/kunywa sumu pindi tu wanaposalitiwa na kuachwa na wake/waume zao. Kwa nini uchukue uamuzi huu hatari wakati kuna mbinu kibao.
 
kwa sababu kwako wewe unaangalia kwa upande wako bila hisia na kujua nini huyo muhusika aliweka kwenye huo usiano.
 
Hivi ni wanawake tu ambao wanajiua? Takwimu zako wazipata wapi? Hapa nchini na duniani kote wanaoongoza kwa kujiua ni wanaume sio wanawake.
 
Kukosa taarifa nzuri, hasira na maamzi yasiyo ya busara yanapelekea wengi kujiua/kujinyonga/kunywa sumu pindi tu wanaposalitiwa na kuachwa na wake/waume zao. Kwa nini uchukue uamuzi huu hatari wakati kuna mbinu kibao.
Mbinu hutumiwa na wenye akili timamu!
 
Ingekuwa umamuzi ni huo, ningekuwa nimefufuka mara ya 11 mpaka leo hii
 
Back
Top Bottom