Kwa nini ukitongoza msichana/mwanamke unaye ishi nae mtaa mmoja anakukataa ?

..una akili nyingi
 
Mdogo wangu, Pambania Maisha Yako,
Wanawake Hawanashukrani, na hawajui wanaitaji Nini ktk Maisha.
Hata siku Moja usijitume sana Ili kupata mwanamke, yule unaemuangaikia wewe Kuna mshikaji anampata kiulaini sana
Ukielewa hilo Wala Hautopata shida au kuitesa nafsi yako au akili yako kuwaza Ufanye nini umpate mwanamke.
Wanawake ni Viumbe kama shetan, Kila shetani na mbuyu wake, kwako akisumbua Kuna Sehemu asumbui anaenda mwenyewe kiulaini, Acha kusumbuka na Wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…