Kwa nini umechagua Shahada ya Ualimu?

Kwa nini umechagua Shahada ya Ualimu?

Wadogo zake Mizengo Pinda ndo wanakimbilia ualimu sababu hawana Magodifaza,Kuna suala la loan pia na wachache Sana Ni kutokana na mapenzi yao tu.

Wale wa mboga nane wanasoma hata Heritage Management ya UD halafu wanaula kiulaini.
 
no handsome salary pia...hand to mouth..or little savingz...u live n die ukiwa kwenye lile tabaka la immediate above low income earners' one(unless kwa wewe mtoto wa kike lyk u inategemea na ur hubbyz'' guts..(never underestimate the p.o.p teh teh.
hivi unafikiri kuwa na maisha bora ni lazima kuajiriwa na kulipwa mshahara mkubwa kama ndo hivyo umeshawahi kujiuliza kwanini matajari wengi sio watu waliosoma so hata kama ww ni engeneer doctor lawyer etc bila kuwekeza out of your salary you will be nothing na hautaweza kuwa tajiri hivyo fanya kazi na usidharau wengine !!!!
 
Nlichagua bachelor of education for the sake of my future husband and kids...me naamini hii ndo kazi ambayo itanifanya niweze kubalance muda wangu kama mwanamke mfanyakazi, mke na mama....

No overtime saa tisa mchana nisharudi home kumpikia hubby na kunyonyesha mtoto..., hamna safari za semina za ajabu, hakuna presha za mabosi, hamna kuvuana chu.pi ili upande cheo....ukivua umetaka mwenyewe....!
Ratiba ya kazi inaeleweka...jumamosi na jpili ni mapumziko...no emergency za ajabu....

Huwa nawaza siku nikirudi home saa mbili usiku lazima nimbebe hubby wangu....labda nirudi na barua yenye muhuri wa afisa elimu, iliyosainiwa na mkuu wa shule kupitia kwa mwalimu wa taaluma na kupitishwa na mwalimu wa zamu....hahahaaaa....

cc; doct
Hahaha mkuu umenena vyema but umezungumzia suala la kuvua chu.pi hapo mmmh,semina unajua kwamba semina,overtime hizi ni pesa hawafanyi bure? Ukiwa na kipato kidogo huku unalea familia ndio raha yako we we na familia yako? Okay vizuri pia
 
acheni kudanganya watu na kujipa moyo kijinga jinga, ualimu ni very challenging especially siku hizi.. eti muda wa kusimamia miradi? miradi ya kuuza bangi? unapangiwa sehemu hata network hakuna na watu ni very conservatives aaaargh mie najuta kwanini nilichagua hii kazi..
 
uliwezaje kuchangia jamii forum?
 
Nlichagua bachelor of education for the sake of my future husband and kids...me naamini hii ndo kazi ambayo itanifanya niweze kubalance muda wangu kama mwanamke mfanyakazi, mke na mama....

No overtime saa tisa mchana nisharudi home kumpikia hubby na kunyonyesha mtoto..., hamna safari za semina za ajabu, hakuna presha za mabosi, hamna kuvuana chu.pi ili upande cheo....ukivua umetaka mwenyewe....!
Ratiba ya kazi inaeleweka...jumamosi na jpili ni mapumziko...no emergency za ajabu....

Huwa nawaza siku nikirudi home saa mbili usiku lazima nimbebe hubby wangu....labda nirudi na barua yenye muhuri wa afisa elimu, iliyosainiwa na mkuu wa shule kupitia kwa mwalimu wa taaluma na kupitishwa na mwalimu wa zamu....hahahaaaa....

cc; doct

Siku hizi kuna bigi lizati ndugu.

Mwl unarudi saa kumi na mbili jioni.

Jumamosi unaenda kutoa mitihani kwa la saba na la nne. Au fom tu na fom fo.

Jumapili unasaisha.

Jumatatu lesoni plani zinakungoja.

Wakati huo hujasaisha madaftari kibaao mezani.

Aaah..

Utakapoanza utanambia.
 
Ha ha ha dah ndugu unafikiria sana aisee na yote uliyoandika yana ukweli kabisa
 
Kwenda ualimu ni uoga wa maisha, unaishia kuwa ticha for life yani hata kwenda holiday Maldives huwezi..afu wengi wajidanganya kuwa its just a stepping stone sijui uende masters ya Biashara..wastage of time!
 
me naona kila mbuzi hula urefu wa kamba yake, sio vizuri kuwaponda wenzetu walioamua kuwa walimu
 
Wadogo zake Mizengo Pinda ndo wanakimbilia ualimu sababu hawana Magodifaza,Kuna suala la loan pia na wachache Sana Ni kutokana na mapenzi yao tu.

Wale wa mboga nane wanasoma hata Heritage Management ya UD halafu wanaula kiulaini.

ha ha aa eti wadogo zake pinda
 
Kuwa mwalimu ni kujichimbia kaburi la umaskini.
 
wengi wanakimbilia urahisi wa jira. mm aliyeajiri directy hanambii kitu hajui msoto ulivyo namheshimu mtu aliyepata kazi kwa usaili
 
Sijawah kujuta kusoma ualimu!kaz inayonipa mda wa kufanya shughuli zang,kaz nyingine kero had jmos,jpil,skukuu ualim mzr
 
Anayesononeka kufanya kaz ya ualim ni mviv wa kufikir tu,au mamluk ktk kada hii.Ualim una ubya gan jaman!lov teaching !
 
Nlichagua bachelor of education for the sake of my future husband and kids...me naamini hii ndo kazi ambayo itanifanya niweze kubalance muda wangu kama mwanamke mfanyakazi, mke na mama....

No overtime saa tisa mchana nisharudi home kumpikia hubby na kunyonyesha mtoto..., hamna safari za semina za ajabu, hakuna presha za mabosi, hamna kuvuana chu.pi ili upande cheo....ukivua umetaka mwenyewe....!
Ratiba ya kazi inaeleweka...jumamosi na jpili ni mapumziko...no emergency za ajabu....

Huwa nawaza siku nikirudi home saa mbili usiku lazima nimbebe hubby wangu....labda nirudi na barua yenye muhuri wa afisa elimu, iliyosainiwa na mkuu wa shule kupitia kwa mwalimu wa taaluma na kupitishwa na mwalimu wa zamu....hahahaaaa....

cc; doct

Na mume mwenyewe ndio mimi
 
Back
Top Bottom