hivi unafikiri kuwa na maisha bora ni lazima kuajiriwa na kulipwa mshahara mkubwa kama ndo hivyo umeshawahi kujiuliza kwanini matajari wengi sio watu waliosoma so hata kama ww ni engeneer doctor lawyer etc bila kuwekeza out of your salary you will be nothing na hautaweza kuwa tajiri hivyo fanya kazi na usidharau wengine !!!!no handsome salary pia...hand to mouth..or little savingz...u live n die ukiwa kwenye lile tabaka la immediate above low income earners' one(unless kwa wewe mtoto wa kike lyk u inategemea na ur hubbyz'' guts..(never underestimate the p.o.p teh teh.
Hahaha mkuu umenena vyema but umezungumzia suala la kuvua chu.pi hapo mmmh,semina unajua kwamba semina,overtime hizi ni pesa hawafanyi bure? Ukiwa na kipato kidogo huku unalea familia ndio raha yako we we na familia yako? Okay vizuri piaNlichagua bachelor of education for the sake of my future husband and kids...me naamini hii ndo kazi ambayo itanifanya niweze kubalance muda wangu kama mwanamke mfanyakazi, mke na mama....
No overtime saa tisa mchana nisharudi home kumpikia hubby na kunyonyesha mtoto..., hamna safari za semina za ajabu, hakuna presha za mabosi, hamna kuvuana chu.pi ili upande cheo....ukivua umetaka mwenyewe....!
Ratiba ya kazi inaeleweka...jumamosi na jpili ni mapumziko...no emergency za ajabu....
Huwa nawaza siku nikirudi home saa mbili usiku lazima nimbebe hubby wangu....labda nirudi na barua yenye muhuri wa afisa elimu, iliyosainiwa na mkuu wa shule kupitia kwa mwalimu wa taaluma na kupitishwa na mwalimu wa zamu....hahahaaaa....
cc; doct
Heee...Usinishike bega...Habibi wangu yuko hapa hapa.....
Am occupied.....
uliwezaje kuchangia jamii forum?acheni kudanganya watu na kujipa moyo kijinga jinga, ualimu ni very challenging especially siku hizi.. eti muda wa kusimamia miradi? miradi ya kuuza bangi? unapangiwa sehemu hata network hakuna na watu ni very conservatives aaaargh mie najuta kwanini nilichagua hii kazi..
Nlichagua bachelor of education for the sake of my future husband and kids...me naamini hii ndo kazi ambayo itanifanya niweze kubalance muda wangu kama mwanamke mfanyakazi, mke na mama....
No overtime saa tisa mchana nisharudi home kumpikia hubby na kunyonyesha mtoto..., hamna safari za semina za ajabu, hakuna presha za mabosi, hamna kuvuana chu.pi ili upande cheo....ukivua umetaka mwenyewe....!
Ratiba ya kazi inaeleweka...jumamosi na jpili ni mapumziko...no emergency za ajabu....
Huwa nawaza siku nikirudi home saa mbili usiku lazima nimbebe hubby wangu....labda nirudi na barua yenye muhuri wa afisa elimu, iliyosainiwa na mkuu wa shule kupitia kwa mwalimu wa taaluma na kupitishwa na mwalimu wa zamu....hahahaaaa....
cc; doct
Siku hizi kuna bigi lizati ndugu.
Mwl unarudi saa kumi na mbili jioni.
Jumamosi unaenda kutoa mitihani kwa la saba na la nne. Au fom tu na fom fo.
Jumapili unasaisha.
Jumatatu lesoni plani zinakungoja.
Wakati huo hujasaisha madaftari kibaao mezani.
Aaah..
Utakapoanza utanambia.
Wadogo zake Mizengo Pinda ndo wanakimbilia ualimu sababu hawana Magodifaza,Kuna suala la loan pia na wachache Sana Ni kutokana na mapenzi yao tu.
Wale wa mboga nane wanasoma hata Heritage Management ya UD halafu wanaula kiulaini.
Kuwa mwalimu ni kujichimbia kaburi la umaskini.
Anayesononeka kufanya kaz ya ualim ni mviv wa kufikir tu,au mamluk ktk kada hii.Ualim una ubya gan jaman!lov teaching !
Nlichagua bachelor of education for the sake of my future husband and kids...me naamini hii ndo kazi ambayo itanifanya niweze kubalance muda wangu kama mwanamke mfanyakazi, mke na mama....
No overtime saa tisa mchana nisharudi home kumpikia hubby na kunyonyesha mtoto..., hamna safari za semina za ajabu, hakuna presha za mabosi, hamna kuvuana chu.pi ili upande cheo....ukivua umetaka mwenyewe....!
Ratiba ya kazi inaeleweka...jumamosi na jpili ni mapumziko...no emergency za ajabu....
Huwa nawaza siku nikirudi home saa mbili usiku lazima nimbebe hubby wangu....labda nirudi na barua yenye muhuri wa afisa elimu, iliyosainiwa na mkuu wa shule kupitia kwa mwalimu wa taaluma na kupitishwa na mwalimu wa zamu....hahahaaaa....
cc; doct
Mkuu nakupongeza kwa kuwa na job satisfaction big upSijawah kujuta kusoma ualimu!kaz inayonipa mda wa kufanya shughuli zang,kaz nyingine kero had jmos,jpil,skukuu ualim mzr