Kwa nini umechagua Shahada ya Ualimu?

Anayesononeka kufanya kaz ya ualim ni mviv wa kufikir tu,au mamluk ktk kada hii.Ualim una ubya gan jaman!lov teaching !

Kwa uandishi huu na wewe ni mwalimu??
 
no handsome salary pia...hand to mouth..or little savingz...u live n die ukiwa kwenye lile tabaka la immediate above low income earners' one(unless kwa wewe mtoto wa kike lyk u inategemea na ur hubbyz'' guts..(never underestimate the p.o.p teh teh) )
Hahahahhahaaaaa umenifurahisha sana bonge la comment
 
wewe uliyeleta post umekaa ukajiuliza kwamba bila mwalimu wewe ungekuwa wapi unajua sisi watanzania tunajua kulaumu na kutambiana na kujikweza na aina ya kozi uliyosoma kitu ambacho hakina umuhimu zaidi ya kupoteza muda tu na tunatakiwa kuheshimiana kwa sababu kila kitu ni muhimu na ndo maana kipo!!!acheni hizo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…