Ni desturi kwa mwanaume kumpa pesa mwanamke baada ya kufanya naye mapenzi, na ikiwa mmekubalina na pia RAHA hata na yeye anaipata.
Inakuwaje mmpe pesa na siyo mwanamke ampe pesa mwanaume, hata kama mwanamke ana kipato kikubwa akini bado anapewa pesa kwa ajili ya penzi. Mwenzenu napata taabu sana kulielewa suala hili.
(1) nini maana ya pesa anayopewa (kumuhonga)
(2) Je, kwa nini mwanamke asiwe yeye wa kumpa pesa mwanaume?
Wana JF naomba mnisaidie.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
HAHAHAH MKUU KAZI KWELI KWELI HUJAPATAGA BAHATI ZA KUHONGWA NINI,YANI HIYO KITU IMEZOELEKA SANA MAANA WATONGOZAJI WAKUU Ni nyie na mnaozidiwa hovyo hoyo ni nyie.we huoni hata majimama yanayojitongozesha huonga ?hiyo hutegemea na ninani aliyegongea hahahahh
khaaaaaaaaaaaaaa yaani kuna wanaohongwa baada ya kufanya mapenzi?
mbona wengine tunahongwa bila kutoa kipochi manyoya?
mfumo jike huooo
unajifanya hujui naakati wewe ndio mhusika mkuu na mtendaji mkuu hahahaahkhaaaaaaaaaaaaaa yaani kuna wanaohongwa baada ya kufanya mapenzi?
mbona wengine tunahongwa bila kutoa kipochi manyoya?
halafu nyie wakalikali ndo mnaliwagwa sana tuhuyo mwanaume anaehonga mpaka karne hii atakua na matatizo, Nkuonge we kwa kipi asa ulichonacho ambacho wengine hawana..
Mkuu ile sio kuhonga bali ni asante. sasa wewe umchafue mtoto wa watu halafu ushindwe kumpa hata ya kununulia sabuni akaoge?. Mtu unahonga kabla ya kufanikiwa, ukisha fanikiwa sio hongo tena bali ni asante. siku nyingine hata yeye anaweza kukupa asante halafu sio utamaduni wa mtanzania kutegemea demu.
Hapo umemaliza mkuu. Ndivyo ninavyofahamu mapenzi yalivyo.Hapo penye nyekundu pananipa mashaka kidogo. Sina uhakika kama hiyo ni desturi maana sidhani kama kuna huo utaratibu wa kuwa kila mara baada ya tendo unatakiwa kulipia! Ninavyofahamu mimi nikuwa, utaratibu huo upo kwa wale wanaonunua madada poa ila kwa wale wenye wapenzi wao sina hakika kama hii ni desturi yao!
Ila ni hali ya kawaida kwa upande wangu na naona ni wajibu wangu na pia ni fahari kumtunza na kumhudumia mwanamke ambaye ni mpenzi wangu. Kwa uelewa wangu, mwanamke anatakiwa kutunzwa, kupendwa, kuheshiwa, kuthaminiwa na kuhudimiwa. Wakati huduma hizo zinatolewa, si sahihi kuziita hongo, ni sehemu tu ya kuonyeshana mapenzi. Ktk zoezi hilo, mwanamke pia huthamini mchango na upendo wako na mwisho huishia kwenye kujikuta wote mkitunzana badala ya mmoja kumtunza mwenzake. Ktk hali kama hii huwa hakuna kutoa chochote mara baada ya kupeana huduma.
Mimi huwa sihongi bali ninanunua. Tunaafikiana gharama kwa kila raundi, nalipia na kwenda raundi zangu. Nikimaliza hakuna kujuana wala kutumiana vocha za simu. Kwa maana nyingine, sihitaji matatizo ya kuwa na mtu ninayemwita mpenzi maana sipendi usumbufu wa akili hata kidogo.