Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nadhani huo ni mtazamo tu,wapo wanawake ambao wana wawezesha wanaume zao.na tofauti na hapo imezoeleka kuwa mwanaume ndio kiongozi hivyo ni wajibu wake kuhudumia mwanamke.
Hao wanaowezesha Wanaume ndio wazuri, kwani wanajua maisha.
Lakini wengi wao hawalijui hilo wao wanataka kupewa RAHA pamoja na PESA; Kwa kweli wanatunyanyasa kabisa.
TUAMUE KUWEKA MGOMO WA KUHONGA SASA!!!!!
Mwanamke akila Chips na Soda / kinywaji, basi tosha kabisa hakuna kumpa kitu tena kama ni pesa ya sabuni kwani siku zote huwa haogi?????
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!