Kwa nini Umuhonge Mwanamke???


Usiumie roho wala nini, dalili za hongo ni kwamba HUJIAMINI. Mchezo wako ni modogo. Unaongezea hela ili walau hata akisema hujui kufanya mapenzi anakusifia kwenye kuhonga!
 
Hichi kitu wanawake na wanaume wamepewa bure sasa kama unahonga ili upate basi ni wewe.Ebu jaribu kuomba uone kama ujapewa bure .Shida hamjui kuomba unaanza na kutoa vitu na dio maana hata Rushwa ilianza hivyohivyo

Yaani ambaye hana masharti ni mke wa ndani tu; Lakini ukitia timu kwa hawa madada wengine, hata awe mpenzi, bado zinakutoka tu.

Usipotoa hata kwa mpenzi utashangaa anaanza tabia mbaya ya kuchanganya wanaume, na pia utaitwa majina ya ajabu, (Bahili, mkono wa Birika, kutu nk)



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Me katika mahusiano yangu nimewahi kuhonga na kuhongwa. Mara nyingi kama dem anakupenda sana atakuwa tayari umle yeye na vyake. Vivyo hivyo mara nyingi kama dem hakutaki itabidi ale kwanza mpunga wako/pesa kisha akutie kumani mwake. Siku hizi hakuna mapenzi wala upendo kuna bidhaa inaitwa K.U.M.A na rafiki yake wa karibu ni CASH MONEY.
 
huyo mwanaume anaehonga mpaka karne hii atakua na matatizo, Nkuonge we kwa kipi asa ulichonacho ambacho wengine hawana..

ukisema cha nini wenzio hawalali kwa mawazo watakipata lini.....

Halafu nyie mnaojifanyaga hamuhongi ndo mnauza hadi nyumba za urithi nyie
 
Ha-ha-ha!

Kama kumpa mdada pesa ni sehemu ya mapenzi, mbona wakipewa pesa kidogo wanaishia kulalamika!

Tabia hii imewafanya wanawake wawe kama bidhaa sokoni. Kwa kuwa inanigharimu pesa yangu toka mifukoni mimi huwa naiona kama issue ya kununua, kutumia, na ikichakaa nanaamua kutupa mbali kabisa. Hainisumbui akili hata kidogo.

 
Kwani kazi ya pesa ni nini? Si kwa ajili ya kutatua matatizo na kuenjoy maisha?
 

shida zote hizo za nini mtu wewe?oa upate mke,achana na hao wa kukumalizia pesa.tena ukute unamhonga vyote hivyo huku kwenu wazazi wanamahitaji,wadogo zako wanahitaji elimu.acheni hii kitu vijana wenzangu.
 
Pesa anayopewa mwanamke baada ya tendo.inategemeana na Mtu kampatia kwa sababu ipi either walikubaliana au kumpa ili atumie kununua sabuni ya kujisafishia au jambo lingene ni kuonesha kujali.
 
Mwanamke matunzo ati!!usipomtunza mpenzi/mkeo unategemea nani amtunze/amjali??na je usipompa halafu akapewa na mwingine utalalamika??hebu vaa majukumu yako kama mwanaume na ukishindwa wenzio watakusaidia eboh!!
 
unaweza ku-arrange kumpa demu wako hela wakati mwingine wowote na si lazima ategemee kupewa kila mnapomaliza game
 
Hiyo toka enzi za dahari vitabu vya vimeandika
Hakuna mwanaume aliyepata mke buula kutoa kitu ila Adamu kwa Hawa tunaambiwa yuko jamaa alitaka bint akapewa Mkubwa badala ya mdogo akaambiwa achunge kondoo miaka 7 mingine ndo apewe mke amtakae
Hivyo ww acha kutoa kitu kudogo km utampata tena huyo mwanamke hata mkeo ulishamlipia km si mahari basi hata pesa (nauli / kinywaji)
 
ukisema cha nini wenzio hawalali kwa mawazo watakipata lini.....

Halafu nyie mnaojifanyaga hamuhongi ndo mnauza hadi nyumba za urithi nyie

duh hiyo kwaajir ya mwanamke au malaika.. Nkupotezee nguvu zangu zote na hela nikupe, emh nitue
 
Ni vyema tufahamu kuna mazingira mengine ni vigumu kama mwanaume kuweza kuacha kumpa mwanamke hela. Pia inategemea ni mwanamke wa aina gani na una malengo gani nae.Mfano kustarehe mara moja then mnaachana ni vigumu kuacha kumpa hata hela kidogo kwa mstaarabu yeyote ni vigumu lakin ni mpenzi wako na una nia nae ya kuja kuishi pamoja waweza fanya starehe zenu na usimpe chochote kwani matatizo yake si lazima mfanye ngono ndio uyatatue
 
KUTONGOZA nako issue wengine wanaona bora waache pesa ichukue nafasi ya kutongoza hapo ndipo panakua patamu mtu anaumizwa kutokana na uzezeta wake wa kuongea na wanawake
 
Hii kali kila baada ya tendo unatoa pesa.....hiyo si desturi kamwe na wala si mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…