Kwa nini Unahitaji SmartBusiness hivi sasa kwenye biashara yako?

Kwa nini Unahitaji SmartBusiness hivi sasa kwenye biashara yako?

herman3

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
556
Reaction score
736
SmartBusiness ni program ya usimamizi wa biashara ambayo itakuwezesha kusimamia taarifa za mauzo, matumizi, manunuzi ya stock, kufahamu bidhaa zilizobaki kwenye stock, madeni ya wateja na yale unayodaiwa na suppliers, kusimamia malipo ya wateja wanaolipa kidogo kidogo n.k pamoja na kupata ripoti ya mwenendo wa biashara yako.

Kwa nini Unahitaji SmartBusiness hivi sasa kwenye biashara yako?

1. Urahisi wa Kutunza Kumbukumbu - Inarahisisha ufuatiliaji wa mauzo, manunuzi, na gharama za biashara kwa urahisi.

2. Usimamizi wa Fedha - Hutoa ripoti za kifedha kwa muda mfupi na inasaidia kupanga bajeti na kutathmini faida na hasara.

3. Ufuatiliaji wa Malipo - Inawezesha kufuatilia malipo ya wateja na mikopo wanayodaiwa.

4. Usimamizi wa Wateja na Wauzaji - Inasaidia kutunza taarifa za wateja na wauzaji kwa urahisi

5. Usimamizi wa Stoo/bidhaa - Inafuatilia bidhaa zilizo stoo na inakupa taarifa za bidhaa zilizokwisha au karibu kumalizika

6. Rahisi Kutumia - Ni rahisi na rafiki kwa mtumiaji, haihitaji hata D moja ili kuweza kuitumia

7. Inarahisisha usimamizi wa usambazaji wa bidhaa kwa wateja (Delivery)

8. Inakuwezesha kurekodi taarifa za wateja wanaolipa kidogo kidogo

kwa Android download hapa SmartBusiness -Bookkeeping App - Apps on Google Play

Kwa iPhone download hapa https://apps.apple.com/app/smartbusiness-bookkeeping-app/id6504250445
 
Mkuu herman3 ,

To be honest, SMART BUSINESS APP ipo more simplified and user friendly ukilinganisha na competitors wengine waliopo kwenye game.

Mie mwenyewe ilikuwa almost nifanye subscription ya mwaka, lakini nilighaili baada ya kusoma the TERMS & CONDITIONS za SmartBusiness.

Downside yenu ni moja tu: Hamna guarantee ya 'Uhifadhi & Usalama wa taarifa (data entry) za mteja kwenye mfumo'.

Ukisoma Terms & Conditions namba 1, 2, 3, na 5, SmartBusiness hawampi mteja GUARANTEE ya UHIFADHI & USALAMA WA TAARIFA (Data Entry) KWENYE MFUMO. It looks like ni any time mteja analose taarifa/data zake zote na hakuna wa kumuuliza! 🤔
Screenshot_2024-11-24-18-52-01-960_com.android.chrome.jpg

Screenshot_2024-11-24-18-52-59-174_com.android.chrome.jpg

Let say, App inacolapse ghafula labda kwa technical issue/defects (as per Term no. 2 hapo juu) au mnaamua ku-terminate account ya mteja for any necessary reason without notice (as per Term no. 5 hapo juu), ni vipi mteja atapata access/retrieval ya data entries zake (stock list, Sales, Expenses, etc)???

Jaribuni kulitizama hilo kwa umuhimu. 'Storage & Security on Data Entries za mteja' ziwe guaranteed kwenye terms & conditions zenu. Fanyieni kazi hii concern, na mtapata serious customers wengi sana.

Hizo terms na conditions zenu zinawaogopesha watu. Yaani ukisoma hizo terms & conditions, ni kwamba upande wa service provider hauna any responsibility kwa mteja wake. Mnajivua na kubaki bila wajibu wowote kwa mteja!

Kibiashara, unapoamua kuwa 'payable service provider' kuna responsibilities hauwezi kuzikwepa.

Otherwise, app yenu ni nzuri na inashawishi sana in terms of user interface and simplicity. Big up sana. Endeleeni kuboresha.
 
Mkuu herman3 ,

To be honest, SMART BUSINESS APP ipo more simplified and user friendly ukilinganisha na competitors wengine waliopo kwenye game.

Mie mwenyewe ilikuwa almost nifanye subscription ya mwaka, lakini nilighaili baada ya kusoma the TERMS & CONDITIONS za SmartBusiness.

Downside yenu ni moja tu: Hamna guarantee ya 'Uhifadhi & Usalama wa taarifa (data entry) za mteja kwenye mfumo'.

Ukisoma Terms & Conditions namba 1, 2, 3, na 5, SmartBusiness hawampi mteja GUARANTEE ya UHIFADHI & USALAMA WA TAARIFA (Data Entry) KWENYE MFUMO. It looks like ni any time mteja analose taarifa/data zake zote na hakuna wa kumuuliza! 🤔
View attachment 3160543
View attachment 3160546

Let say, App inacolapse ghafula labda kwa technical issue/defects (as per Term no. 2 hapo juu) au mnaamua ku-terminate account ya mteja for any necessary reason without notice (as per Term no. 5 hapo juu), ni vipi mteja atapata access/retrieval ya data entries zake (stock list, Sales, Expenses, etc)???

Jaribuni kulitizama hilo kwa umuhimu. 'Storage & Security on Data Entries za mteja' ziwe guaranteed kwenye terms & conditions zenu. Fanyieni kazi hii concern, na mtapata serious customers wengi sana.

Hizo terms na conditions zenu zinawaogopesha watu. Yaani ukisoma hizo terms & conditions, ni kwamba upande wa service provider hauna any responsibility kwa mteja wake. Mnajivua na kubaki bila wajibu wowote kwa mteja!

Kibiashara, unapoamua kuwa 'payable service provider' kuna responsibilities hauwezi kuzikwepa.

Otherwise, app yenu ni nzuri na inashawishi sana in terms of user interface and simplicity. Big up sana. Endeleeni kuboresha.
Ahsante sana nashukuru kwa ushauri wako, tutauzingatia. Pia nikutoe wasiwasi kuhusu usalama wa data zako kwenye SmartBusiness na vile ambavyo tunawajibika kuhakikisha data za wateja wetu zipo salama. Tunafanya automated backup 3 kila siku (Saa sita mchana, saa kumi na mbili jioni , na saa sita usiku) hiyo inatuwezesha kuwa na backup za kutosha incase itatokea changamoto yoyote. Pia, mbali na ku_login kwa kutumia email na password pia tumeweka in-app pin ambayo inawezesha app kujifunga ikiwa hujaitumia ndani ya muda wa dakika 10 hivyo kuzuia unauthorized access kwa yeyote ambaye atakuwa na device yako bila ruhusa yako.

Pia, issue ya usalama ni two way, kwa maana kwamba sisi tunafanya kazi ya kuhakikisha mfumo upo salama na hakuna ambaye anaweza kufikia data zako bila ruhusa yako, lakini pia mteja unatakiwa kuhakikisha usalama wa data zake mfano data ambazo ume_export, ku_share login details na watu wengine, kuwa na strong password, kufuta mfanyakazi ambaye umemwachisha kazi ili asiwe na access ya data zako, kuhakikisha unaingiza taarifa zako kwa usahihi, kuangalia sehemu ya notification kuona any potential threat activities ambazo zimefanywa na wafanyakazi kwenye biashara mfano kufuta mauzo, manunuzi [pia sasa tumeweka instant notification itakuja ikiwa hizo activity zimetokea na utaona jina la mfanyakazi ambaye amefanya hiyo activity], n.k hayo yote yapo ndani ya uwezo wa mteja ambaye ni wewe.

Ila kwa upande wa huduma zetu, kama umejaribu kutumia SmartBusiness hata mwezi mmoja umeona ambavyo tupo, na kwa sasa tunauzoefu wa zaidi ya mwaka mmoja tangu tulipoanza tar 17 October 2023, vile vile unaweza soma review ambazo tunapata kutoka kwa watumiaji wengine wa app kwenye play store / app store kuhusu huduma zetu.

Kwa niaba ya SmartBusiness, mimi kama Founder wake nashukuru sana kwa feedback hii tunaiweka kwenye vitendo haraka sana kayanda01
 
Back
Top Bottom