Kwa nini unakwenda kuchokonoa Twitter za mtu?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Yeye ameandika kwenye kurasa zake, wewe unakwenda kufungua kusoma na kuanza kulalamikia alichoandika, ni kwa nini unatembelea ukurasa wake? Ni kama vile unakuta mtu anakulalamikia na kukuhukumu kwa picha zako ulizoweka kwenye akaunti yako ya Facebook, sasa ulifwata nini huko? I mean kwa nini unafungua ukurasa wake na kuanza kulalamikia alichoandika?
 
Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni
 
Back
Top Bottom