CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Huwa watu wengi wakitaka kuanza mradi uwe wa hoteli au Kilimo au Ufugaji basi wataanza Ziara za kutembelea watu walio fanimiwa.
Mtu atatembelea migahawa inayo jaza watu ili apate Busta au pate hamasa.
Mfugaji wa kuku atataka kutembelea Mfugaji mwenye kuku 1000 na zaidi na hatataka kutembelea mwenye kuku 3.
Mkulima atataka kutembelea shamba la nyanya kubwa na lilopendeza sana.
KWA NINI NI MAKOSA KUSIKILIZA STORY ZA WALIO FANIKIWA TU?
Kwenye mafanikio kuna mambo mengi sana na pia kuna siri nyingi mno.
Pia je mafanikio yan pimwa vipi?
Ni vipi utapima mafanikio ya mtu?
- Ni kupitia sales?
- Ni kupitoa Reveneu
- Ni kupitia ukubwa wa project yake?
Kuna baadhi ya miradi juwa ni kwa ajili ya kutakatisha pesa.
Mingine hiwa ni geresha.
Unaweza kuta mfano mimi nina shamba la Kuku na wako kuku 10,000 na nina wafanyakazi na at the same time nafanya kazi taasisi kubwa tu. Unaweza kuta hata mshahara ninao walipa wale wafanyakazi huwa nachukua kwebye taasisi yangu kwa kupiga Dili.
Unaweza kuta mimi mradi wangu wa Broiler 5000 huwa gharama ya maji sina kabisa make nina iba maji au jamaa angu ni Meneja wa DAWASCO.
Unaweza kuta mimi mradi wangu wa Ng'ombe 50 sina gharama za chakula kwa sababu kinachukuliwa sehemu fulani kinaletwa tu.
Unaweza kuta Mradi wangu wa Hoteli mimi baadhi ya vitu sinunui kabisa kwa sababu naletewa au nachukua sehemu bure.
Hivyo unavyo Tembelea alie fanikiwa tu kuna vitu vingi mno hutaelewa na utaelezwa vichache sana.
KWA WALIO SHINDWA.
Hapa sasa ndo sehemu ya kupata pucha kamili kwa nini alishindwa kwenye biashara yake ya mgahawa? unaweza pata habari nyingi sana.
Kwa nini biashara yake ya Mbao ilikufa?
Kwa nini kilimo chake cha Greenhouse kilikufa na alikuwa na Green house za kutosha?
Kwa nini mradi wake wa kuku wa nyama 10,000 ulikufa? nini kilimsibu?
Kwa nini project ya kuku wa mayai ikafa?
UNAPO TAKA KUANZA PIA TAFUTA WALIO SHINDWA NA SIKILIZA WANACHO SEMA.
Sent using Jamii Forums mobile app