mbona hajajichubua??acha chuki
uso na kichwa unaona viko sawa?? au ni ukurutu ulisababishwa na kuvaa wigi. Kwenye ukweli lazima tusema, mcheki Flaviana Matata, uso wake na kichwa sio Pepsi- Mirinda kama kwa huyu.
Mkorogo lazima ukemewe manake una madhara sana kiafya na kuharibu muonekano halisi wa mtu.
ivi ulishaona mtu alijichubua kwelli wewe? maana hapo sijaona, mtu yeyote akinyoa laziam vile vincha vya nywele vinamfanya kichwa kiwe cheusiuso na kichwa unaona viko sawa?? au ni ukurutu ulisababishwa na kuvaa wigi. Kwenye ukweli lazima tusema, mcheki Flaviana Matata, uso wake na kichwa sio Pepsi- Mirinda kama kwa huyu.
Mkorogo lazima ukemewe manake una madhara sana kiafya na kuharibu muonekano halisi wa mtu.
babu huyo dada hajajichubua mtu yeyote akinyoa upara pale zinapoanza kuota nywele kichwa kinabadilika rangi kidogo,honestly huyo dada hajajichubua wengi watatestfy hili...by the way ni choice ya mtu kuvaa wigi,kujichubua, kupaka makeups vitakuwepo hata pale utakapotoweka kny uso wa dunia
Asingechukiza hivi, shida ni kuwa bible imenena jinsi mwanamke atakiwavyo kunyoa, na mwanamke asinyoe nywele zake zote. Ona picha ya kwanza ipo mang'anyu kabisa hata nikiambiwa nitoe mahali ili awe bibi mdogo sibishi, tehe tehe. Nakumbuka ame act na Kanumba katika Dar - LagosBaada ya kupewa dau kubwa ili acheze scene ya mjane, msanii huyu alikubali kunyoa kipara. Cha ajabu baada kunyolewa uso na kichwa haviendani, hii yote ni sababu ya mkorogo. Wadada kuweni makini sana mnapojichubua chubueni kote kote, chini ya kwapa, vidoleni, kichwani nk.
Na sielewi kwa nini mtu ujichubue? infact wanawake weusii wana mvuto wake kama mlikuwa hamlijui hilo.
Kabla ya kunyolewa
Baada ya kunyolewa, duu uso na kichwa tofauti.
kawa kituko cha ajabu-utadhani si yeye