Kwa nini utumie mkorogo?mcheki msanii huyu.

Kwa nini utumie mkorogo?mcheki msanii huyu.

hajajichubua dah ila make up kumbe zinaondoa uhalisia wa mtu dah
 
huyo hajajichubua hata kidogo.pengine ni ukoko tu huo kwa kuwa ametoka kunyolewa
 
Kama hajajichubua basi anaugonjwa wa ngozi jamani. Ila kwenye movie zake nilizobajatika kumuona ni mweusi zaidi ya hapo.
 
Huyo mbona hajichubui, kichwa na uso haviwezi kufanana hasa ukinyoa para kwa mara ya kwanza, acheni kumchuria dada wa watu
 
mbona ka Monalisa? halafu kama watu wawili tofauti?
 
....Umbea huo..huyu dada hajajichubua...kama wewe ni mwanaume basi jitenge na umbea na majungu..
 
Back
Top Bottom