Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kwa nini vijana wadogo wakitoka kimahusiano na wamama watu wazima(mishangazi) au hata wakioana nao kabisa inachukuliwa kama wanalelewa na maneneo yanakuwa mengi sana wakati mabinti wadogo wakitoka au kuolewa na wazee inaonekana ni mahusiano ya kawaida tu?
Haya yote si mapenzi tu kila mtu na taste yake!?
Haya yote si mapenzi tu kila mtu na taste yake!?