Kwa nini vijana wengi wa Dar es Salaam wanapenda kuita wanaume wenzao baba flani?

We kama huna watoto kaa kimya achana na maisha ya watu
 
Ungeshauri pia unataka waitwe vp badala ya hivyo, lakini hii si kwa Dar tu, nadhani ni karibu sehemu zote tu Tz
 
Tafuta ata wakufikia maana wa dar wanafaidi sana kuitwa hivyo
 
Hahaha wew umefurahisha bwn! Kwahyo hutaki ujulikane una mtoto tayari au? Mbona sielewi, wew huoni huo ni ufahari au ni dhambi?
 
Acheni kuidhalilisha jf kama huna cha kupost kausheni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…