Kwa nini Viongozi wa Kenya huvaa mavazi yanayofanana na taulo kichwani?

​ah haha haha ahaaa........they say google before you post, majudge ndo huvaa hivyo ndugu yangu
 
Hayo "mataulo" yanavaliwa na watu wanaopenda saaana kuiga wazungu!
 
Nionyeshe mwafrika mmoja asiyeiga Mzungu. Vijana mmejazana Dar mjini na milegezo eti masharo. Afu ofisini watu wamefunga kamba shingoni eti tai, makoti na mashati yote mavazi ya mzungu. Magari na simu zote za mzungu, hii Jamii Forum imetengenezwa na technolojia za Mzungu. Yaani Waswahili wavivu na umbea tu, unakuta Mswahili anajishaua jinsi yeye hawezi iga mzungu wakati kila kitu anachotumia hadi hata hela mfukoni zote kwa ajili ya mzungu, hata choo chenyewe ujuzi wa mzungu, Mwafrika alizoea kuenda kichakani kunyea....useless... na mkome maana kufikia hapo nitaporomosha tusi sasa.
 
Guilty conscious? Huna haja ya kutafuta mwafrika wa namna hiyo kutoka mbali-MIMI natosha. Eti "mkome"--unamaanisha mimi na nani? Please sibishani na kalulu!
 
9_s.png

TZ Judges Dress
 
Hakuna Kiongozi yoyote yule Tanzania ambaye huwa anavaa hivyo Kichwani! SIYO Kweli, ninawajua Viongozi wote Tanzania kuanzia Raisi, Jaji Mkuu (Majaji) mpaka Spika wa Bunge lkn hakuna mwenye hilo Vazi kuanzia TZ Bara Mpaka Visiwani.

Are you serious ama??:smile-big::smile-big:
 
Back
Top Bottom