Nionyeshe mwafrika mmoja asiyeiga Mzungu. Vijana mmejazana Dar mjini na milegezo eti masharo. Afu ofisini watu wamefunga kamba shingoni eti tai, makoti na mashati yote mavazi ya mzungu. Magari na simu zote za mzungu, hii Jamii Forum imetengenezwa na technolojia za Mzungu. Yaani Waswahili wavivu na umbea tu, unakuta Mswahili anajishaua jinsi yeye hawezi iga mzungu wakati kila kitu anachotumia hadi hata hela mfukoni zote kwa ajili ya mzungu, hata choo chenyewe ujuzi wa mzungu, Mwafrika alizoea kuenda kichakani kunyea....useless... na mkome maana kufikia hapo nitaporomosha tusi sasa.