Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Sijasema kila kitu.Siyo kweli kwamba kila kitu na itakuwa eneo na watu ulio nao karibu ndiyo wanye huruka ya kusema hivyo vitu vinapatikana Nairobi.
Nchi imeathiriwa kwa kiasi kikubwa kwa taifa na chama tawala kukumbatia uchawi na ushirikina.
Mwenge ni ibada ya kishetani.
Mwenge ni laana inasababisha tulale kwa huzuni na tusifanikiwe.
Soma Isaya 50:11
WaTanzania ni WAJAMAA wenzetu waKenya ni WAJASRIAMALI tofauti kubwa sana, Raslimali zoote tulizonazo tunawatuzia waKenya tu sisi ni koloni lao kiuchumi kila kizuri kilichopo TZ kinapatikana kenya na wao ndio wanakimiliki KIMATAIFA (AIBU KUBWA SANA INANIKERA SANA) na sasa hii miaka ya hivi karibuni ndio tumeua kabisa ujasriamali wetu uliokuwa ndio kwanza unachipukia..Kuanzia madawa, spea za magari, huduma mbambali mbali na bidhaa kadhaa wa kadhaa, huwa inasemwa vinapatikana Nairobi. Kama mtu umewahi kuuguliwa na Mgonjwa wako kufikia ngazi ya rufaa ya Kitaifa Muhimbili, lazima maelezo ya kununua dawa Nairobi ni lazima umewahi kuyasikia.
Hata vile vitu vinavyonunuliwa toka Arusha, mara nyingi ni kwa kuwa ni rahisi kuvileta Arusha toka Nairobi, Ni kwa nini Nairobi?
Kuanzia madawa, spea za magari, huduma mbambali mbali na bidhaa kadhaa wa kadhaa, huwa inasemwa vinapatikana Nairobi. Kama mtu umewahi kuuguliwa na Mgonjwa wako kufikia ngazi ya rufaa ya Kitaifa Muhimbili, lazima maelezo ya kununua dawa Nairobi ni lazima umewahi kuyasikia.
Hata vile vitu vinavyonunuliwa toka Arusha, mara nyingi ni kwa kuwa ni rahisi kuvileta Arusha toka Nairobi, Ni kwa nini Nairobi?
Nadhani wafanyabiashara wa kitanzania wapo discouraged na taratibu za kibiashara hapa nchini vitu kama kodi huwarudisha nyuma ku import Sababu nyingine kubwa wenzetu wa kenya katika sector ya viwanda wamepiga hatua wamejikita katika uzalishaji wa mafuta, nguo, vyakula,madawa na kadhalikaKuanzia madawa, spea za magari, huduma mbambali mbali na bidhaa kadhaa wa kadhaa, huwa inasemwa vinapatikana Nairobi. Kama mtu umewahi kuuguliwa na Mgonjwa wako kufikia ngazi ya rufaa ya Kitaifa Muhimbili, lazima maelezo ya kununua dawa Nairobi ni lazima umewahi kuyasikia.
Hata vile vitu vinavyonunuliwa toka Arusha, mara nyingi ni kwa kuwa ni rahisi kuvileta Arusha toka Nairobi, Ni kwa nini Nairobi?
naweza unga mkono hojaMizigo mingi unayoiona nairobi kina story ndefu sana.
Vitu ni bei chee kwasababu ya wasomali, wasomali wanapata sana hela eg zile za waharamia, wengine wapo ulaya wanawatumia ndugu zao dola. Wasomali wanaagiza mali wanasema zinaenda somalia na somalia hakuna serekali hivyo mizigo yote inabaki kenya kistail na inakuwa haijalipiwa kodi. Bei inakuwa karibia na bure. Kuna sehemu panaitwa islii, hapo kuna kilakitu ambacho kipo ulaya.
Sababu kubwa ni ya kihistoria. Ni tofauti ya kihistoria kati ya Nairobi na Dar es Salaam na Pia Kampala, Bunjumbura na Kigali. Moja ni kwamba Waingereza walijua wanakaa Kenya milele kama Zimbabwe. Yaani walisettle...walilowea.Kuanzia madawa, spea za magari, huduma mbambali mbali na bidhaa kadhaa wa kadhaa, huwa inasemwa vinapatikana Nairobi. Kama mtu umewahi kuuguliwa na Mgonjwa wako kufikia ngazi ya rufaa ya Kitaifa Muhimbili, lazima maelezo ya kununua dawa Nairobi ni lazima umewahi kuyasikia.
Hata vile vitu vinavyonunuliwa toka Arusha, mara nyingi ni kwa kuwa ni rahisi kuvileta Arusha toka Nairobi, Ni kwa nini Nairobi?
Sababu ya pili ni athari ya vita vya kwanza vya dunia. Kenya haikupata athari kwa sababu Uingereza ilishinda vita na kuendelea na sera zake Kenya hasa Nairobi.Sababu kubwa ni ya kihistoria. Ni tofauti ya kihistoria kati ya Nairobi na Dar es Salaam na Pia Kampala, Bunjumbura na Kigali. Moja ni kwamba Waingereza walijua wanakaa Kenya milele kama Zimbabwe. Yaani walisettle...walilowea.