Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kuanzia madawa, spea za magari, huduma mbambali mbali na bidhaa kadhaa wa kadhaa, huwa inasemwa vinapatikana Nairobi. Kama mtu umewahi kuuguliwa na Mgonjwa wako kufikia ngazi ya rufaa ya Kitaifa Muhimbili, lazima maelezo ya kununua dawa Nairobi ni lazima umewahi kuyasikia.
Hata vile vitu vinavyonunuliwa toka Arusha, mara nyingi ni kwa kuwa ni rahisi kuvileta Arusha toka Nairobi, Ni kwa nini Nairobi?
Hata vile vitu vinavyonunuliwa toka Arusha, mara nyingi ni kwa kuwa ni rahisi kuvileta Arusha toka Nairobi, Ni kwa nini Nairobi?