Kwa nini Waarabu wamepata nguvu kubwa sana ya usuluhishi katika migogoro ya kimataifa?

Kwa nini Waarabu wamepata nguvu kubwa sana ya usuluhishi katika migogoro ya kimataifa?

Waarabu sasa hivi ni wasuluhishi wa migogoro mingi sana duniani.
Wanawapatanisha Marekani na Urusi, Congo na Rwanda, Sudan, Lebanon
View attachment 3276786
View attachment 3276787
Ni "mbinu" ya Marekani na baadhi ya mataifa ya ulaya kuwahadaa Waarabu kwa kuwaweka busy kushughulikia masuala ya mataifa ya mbali ili kuwakosesha utulivu na ujasiri wakukabiliana na migogoro inayoikumba kanda yao.
 
Oya kwani waarabu wamekufanya nini mbona unawachukia sana😃😀😄
Alitongoza demu akamkataa alifikiria ni wamatengo wale kwa vle mnasoma pamoja ndo uchezee hizo ndo chanzo cha hasira mengne yote porojo
 
Alitongoza demu akamkataa alifikiria ni wamatengo wale kwa vle mnasoma pamoja ndo uchezee hizo ndo chanzo cha hasira mengne yote porojo
Dah! kwa hiyo aliwachukulia waarabu wandendeule wakampiga chini akabaki ndo akaamua kuwapiga vita.
 
It's a sign of sheer hypocrisy because always charity is supposed to begin at home and not away from home.
 
Waarabu sasa hivi ni wasuluhishi wa migogoro mingi sana duniani.
Wanawapatanisha Marekani na Urusi, Congo na Rwanda, Sudan, Lebanon
View attachment 3276786
View attachment 3276787
Sababu wanaaminika, especially vile Mali zao zipo kote Duniani, unakuta Saudia labda robo ya Mali ipo West, Asilimia kadhaa zipo China, Nyengine Urusi, Africa etc kutokana na nature hio ya Biashara zao inabidi wawe Neutral, wakimuudhi mmoja ni rahisi kuzuia biashara zao,

Wakati Ulaya Wamepiga vikwazo Urusi Saudia Kauza mafuta yake Ulaya then mafuta ya kutumia soko la Nyumbani kanunua Urusi, hapa unatengeneza win/Win situation na kuaminika na Pande zote mbili.
 
Hakuna lolote waarabu wanatuvimbiaga sisi tu lakini huko duniani hamna kitu hao.
 
Ushawahi kusikia chochote kuhusu Algiers Agreement ya mwaka 1975? Algeria alipowapatanisha Iraq na Iran?

Au ceasefire talks kati ya mashetani wa kizayuni na hamas, mazungumzo yanayosimamiwa na Qatar na hata Misri?

Makubaliano ya Amani ya Afghanistan mwaka 2020 yaliyosimamiwa na Qatar?
Dogo ni hivi, kuna tofauti kubwa sana kati ya hivi vitu vitatu (3) porojo, kuuza sura, na usuluhisho. Ushawahi kujiuliza, toka hao waarab wasuluhishe wenzao ilipatikana amani kweli, na kwanini mpaka leo vita bado inaendelea japo walipatanishwa?
 
Back
Top Bottom