Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,619
- 2,272
Ni "mbinu" ya Marekani na baadhi ya mataifa ya ulaya kuwahadaa Waarabu kwa kuwaweka busy kushughulikia masuala ya mataifa ya mbali ili kuwakosesha utulivu na ujasiri wakukabiliana na migogoro inayoikumba kanda yao.Waarabu sasa hivi ni wasuluhishi wa migogoro mingi sana duniani.
Wanawapatanisha Marekani na Urusi, Congo na Rwanda, Sudan, Lebanon
View attachment 3276786
View attachment 3276787
Alitongoza demu akamkataa alifikiria ni wamatengo wale kwa vle mnasoma pamoja ndo uchezee hizo ndo chanzo cha hasira mengne yote porojoOya kwani waarabu wamekufanya nini mbona unawachukia sana😃😀😄
Dah! kwa hiyo aliwachukulia waarabu wandendeule wakampiga chini akabaki ndo akaamua kuwapiga vita.Alitongoza demu akamkataa alifikiria ni wamatengo wale kwa vle mnasoma pamoja ndo uchezee hizo ndo chanzo cha hasira mengne yote porojo
Sababu wanaaminika, especially vile Mali zao zipo kote Duniani, unakuta Saudia labda robo ya Mali ipo West, Asilimia kadhaa zipo China, Nyengine Urusi, Africa etc kutokana na nature hio ya Biashara zao inabidi wawe Neutral, wakimuudhi mmoja ni rahisi kuzuia biashara zao,Waarabu sasa hivi ni wasuluhishi wa migogoro mingi sana duniani.
Wanawapatanisha Marekani na Urusi, Congo na Rwanda, Sudan, Lebanon
View attachment 3276786
View attachment 3276787
Dogo ni hivi, kuna tofauti kubwa sana kati ya hivi vitu vitatu (3) porojo, kuuza sura, na usuluhisho. Ushawahi kujiuliza, toka hao waarab wasuluhishe wenzao ilipatikana amani kweli, na kwanini mpaka leo vita bado inaendelea japo walipatanishwa?Ushawahi kusikia chochote kuhusu Algiers Agreement ya mwaka 1975? Algeria alipowapatanisha Iraq na Iran?
Au ceasefire talks kati ya mashetani wa kizayuni na hamas, mazungumzo yanayosimamiwa na Qatar na hata Misri?
Makubaliano ya Amani ya Afghanistan mwaka 2020 yaliyosimamiwa na Qatar?