Halafu ninyi wapumbavu nani aliwaambia kwamba sisi hatukusoma??? Ina maana mmesoma ninyi pekeenu tu? Kuna shule special kwa ajili ya wachagga?????
....arifu mbona hasira na "madharau mengi"........mbona tuko wachagga ambao hatukusoma lakini tunajua "kufurukuta" maishani na maisha yanaenda sawa!.......kuwepo kwa wasomi wengi wa Kichagga kusikutie/kusikupandishe mzimu bwashee............hiyo ni fact........usipoikubali hiyo fact utapata "wazimu" bure.......
...tatizo hizi "shule za kata" zinawapa jeuri watu wengi sana kuwa eti nao wameenda shule.........kuna ki-generation fulani hapa katikati vimepitia elimu kata hizi na za wizi wa mitihani.......sasa vikikosa uelekeo kimaisha vinaanza kulaumu wachagga........mburah!