Tunawapenda kwasababu na wenyewe wanatupenda.
Na wewe badili lako upendwe.
Hahaha...........kumbe bujibuji ni msukuma!
Wachaga ni nooooooma
Wasukuma wanapenda wanawake weupe; wachagga wanapenda mali za wasukuma!
Ila wanaume wengi wa kisukuma wakioa wachaga; husahau extended family hata immediate mf kaka na dada zao, na hujikuta wakibase uchagani zaidi. Na hata watoto wakizaliwa hujiona wachaga zaidi kuliko wasukuma. Hii nimeiona kwa zaidi 90% za couple mix (mume msukuma, mke chagga); actually couple zote ninazozifahamu (more than 5 na less than 10.
huku usukumani dun mwanamke mweupe bila ng'ombe 30 simpati
Nimefanya kautafiti wangu, nikagundua kuwa Wachaga wengi wanapenda kujichanganya na Wasukuma kuliko makabila mengine ya Tz, Wachaga wengi wameoa/wameolewa na Wasukuma na pia wanashirikiana nao kibiashara.
Baada ya kutafakari sababu.... nimepata majibu yafuatayo:-
1- Wasukuma Wengi wana mali na ni Matajiri
2-Wasukuma ni waaminifu sana.
3-Wachaga ni wajanja na wana mbinu nyingi kuliko Wasukuma kwa hiyo inakuwa rahisi kwa Mchaga kupata faida
Wana JF ningeomba pia na nyinyi mawazo yenu, na kama mna sababu zaidi ya hizo....
Nmh; kongosho l wish ningekupa majina ya hao couple (by the way u could've been one of those l know. LOL)
Wasukuma wapole (though ni vitom.i) na hiyo hufsnya wanawake kuwapanda! I am married to one, na shemeji yangu (Mdogo wa mume wangu) kaoa mchaga!
Mweh mweh mweh! Hivi mateka amekusumbua hadi ukaamua kubadili jinsia? Mi mchaga afu mweupe kama mbalamwezi, tafadhali njoo unichumbie. Na hivi zimwi likujualo, tunapeana zamu kupika supu za maini,lol!
we wajua jinsia yangu si siku ile nlivua kuhakikishia?!
Usimuongelee mateka roho inanipaa nataka kurudi kulala
He is still sleeping like a baby
so sweet
Ongeza namba 4:Wachaga wengi ni wasomi, hivyo wasukuma wanapenda wasomiNimefanya kautafiti wangu, nikagundua kuwa Wachaga wengi wanapenda kujichanganya na Wasukuma kuliko makabila mengine ya Tz, Wachaga wengi wameoa/wameolewa na Wasukuma na pia wanashirikiana nao kibiashara. Baada ya kutafakari sababu.... nimepata majibu yafuatayo:- 1- Wasukuma Wengi wana mali na ni Matajiri 2-Wasukuma ni waaminifu sana. 3-Wachaga ni wajanja na wana mbinu nyingi kuliko Wasukuma kwa hiyo inakuwa rahisi kwa Mchaga kupata faida Wana JF ningeomba pia na nyinyi mawazo yenu, na kama mna sababu zaidi ya hizo....
You might be absolutely right!! though I am not sure if your contention is true that chagas like/love Sukumas. Anyway, all in all wasukuma huwa ni limbukeni unaweza ukamtwist unavyopenda kwa sababu ya ulimbukeni. Kwa mchaga ambaye ni mwizi/mpenda pesa kuliko uhai wa kitu chochote, ni nafasi nzuri ya kumwonea msukuma masikini.