Kwa nini Wachaga Wanawapenda Wasukuma??

Wengine waseme na wewe useme shosti
siku ile nlikuonesha kabisa bado huamini

anyway mateka karidhika na mie basi mie full shangwe
he is supa yummy, sijui alitengenezwa kwa mayonaise
he is decently delicious aisee

Akuu! Mi sina tabia ya kuchungulia watu! Hehehe, wanasema 'he looks yummy in his vulnerable state...' Akiwa kasinzia. Ila una jinsia mbili,nimekustukia aisee! Usije ukaharibu,lol
 

kongosho gashi nang'ho uli wa kukaya.
 
Sasa kama hukutoa kufuli mi ningehakikishaje? Aah,haya banaa msalimie mateka!ila kwenye decency I hav my doubts hehehe. Muamshe apige supu akatafute hela manake ukicheza hupati vekesheni. Mjini utabaki alone,lol
Wengine waseme na wewe useme shosti
siku ile nlikuonesha kabisa bado huamini

anyway mateka karidhika na mie basi mie full shangwe
he is supa yummy, sijui alitengenezwa kwa mayonaise
he is decently delicious aisee
 
Maybe because they are two of the larger tribes in the country ergo you are bound to get more unions between the two compared to other smaller tribes

umeanza mambo haya.tabia hii haikubaliki!!
 
kwel c wasukuma tunawapenda wachaga cs wanaweza kumuongoza mume akapata mwongozo wa biashara na maisha yakaenda.km kunabnt wakichaga anitafute nimuoe
 
jamani watoto wa kichaga ni wazuri nikiwaonaga mate huwa yanachuruzika tu ila nasikia wakakudedisha ili wachukue mali
 
vituko wajua sisi wasukuma ni wakarimu sana, kwa hali hiyo wachaga wanajipendekeza kwetu ili watuibie hakuna salam hapo.
 

Nyie wote mnajaribu kumsema chenge tu eti alijenga kwao alipostaafu na wakati anagombea ubunge bariadi
 
jamani watoto wa kichaga ni wazuri nikiwaonaga mate huwa yanachuruzika tu ila nasikia wakakudedisha ili wachukue mali

hapana kamanda, sema kuna wale wa .............................e, wao ndo specialist hii maneno wengine wako poa tu, tena wa siku hizi wanavaa hadi shanga na vikuu, utaenjoy sana ukipata mmoja. na ni waaminifu sana katika mapenzi tofauti na wazaramo wa kwa mtogole na kule kimanzi chana
 
mi binafsi nawapenda wasichana wa kisukuma. ni wazuri, wanavutia, hawana kashfa za kitamaduni. Mzazi wala hahoji kwa nini umeoa msukuma, ila wengine...!
Uko sahihi mkuu......Wasukuma na wana mvuto sana kwa sex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…