Kwa nini Wachaga Wanawapenda Wasukuma??

Ha ha ha, ujinjiwe ubhebhe, nduhu nulu kubulaga kaya ulu yukulemela kajimelage, kushoka kaya bhiya
kweli,wangu alitoa ng'ombe 50,akapigiwa hesabu kila ng'ombe elfu 20.Nakibhuja sana nikasema najinjiwa lulu.
 
sijui na mimi niingie uchagani, japo sio msukuma
 
Wasukuma wanaiweza kazi bana. Si unaona wanakuwa na wake wengi?

Sasa Mchaga analala anawaza pesa tu. Nasikia sasa Wakenya wanawasaidia kazi maana wao wanaonekana wakati wa X-Mas tu.

Ukiangalia hata maumbo, Wasukuma Kamguu Ka Mtoto si haba. Hapo sasa Ngosha ale ugali wake, weee....

"............Khaa!! Mashiku watumia dawa babaangu............"
 
Beng'hwe, nde mubhona, mlikanya nulu?!
Ha ng'wa pe giki, jagi kuPM
 
u r right...........hawa jamaa ni noma, na ndio maana ukionja kwao lazima utangaze ndoa
 
True 100%!.
P.
 
True 100%!.
P.
 
Wanawake wa kichaga wana roho za kikatili.Wao pesa mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…