Kwa nini Wachaga Wanawapenda Wasukuma??

Hivi kumbe kinyume cha ujanja ni upole eeeh!!!
Mith you more darling.
Vipi mzee wa kiduku hajambo? Maana kama una ubia vile

[emoji1] Kiduku buheri wa afya, nimemzimia tu ndo maana siishi kumtaja! [emoji38]
 
yeuwi wasukuma wana wivu jamani
halafu wanapenda msambwanda[emoji23] [emoji23]
kama una msambwanda afu mweupe utaopoa wasukuma kama vibua...
ukiongeza na Titi hapo utaopoa wapemba mpaka uchoke
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wakipenda wanapenda kweli
 
Kuna dogo kachukua bonge la mtoto wa Kichaga. Mtoto ana heshima, kwao wanazo, halafu ni wifey material fulani hivi zile za ukiwa down ana ku lift up, ukizubaa zubaa katika kutafuta pesa anakuchangamsha.

Yani naona definite change dogo baada ya kuoa kakua ana akili za kikubwa, wamejenga, wanaanzisha biashara etc.

Halafu bidada kwao sio kama wana shida, wana mkwanja wa haja na pedigree ya kutosha.

Kwa hiyo sikubali stereotypes zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…