Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Niwape pole sana wafiwa, naamini yanayotokea sio mapenzi yao kujinyonga bali Shetani.
Nawaza tu, kwa nini Wachungaji wanagoma kusalisha Misa ya mfu aliyejinyonga?
Na baada ya kugundua wamesalisha mtu aliyejinyonga kwa kufoji cheti cha kifo, huwa wanaombaga radhi madhabahuni?