Ni kwa kuogopesha wengine wa sidhubutu kujinyonga, ila halina mantiki zaidi kwasbb hamna guarantee yoyote kwamba ukiombewa ndo tayari umefika kwa Mungu.NIWAPE POLE SANA WAFIWA NAAMINI YANAAYOTOKEA SIO MAPENZI YAO KUJINYONGA BALI SHETANI
NAWAZA TU KWA NN WACHUNGAJI WANAGOMA KUSALISHA MISA YA MFU ALIEJINYONGA??
NA BAADA YA KUGUNDUA WAMESALISHA MTU ALIEJINYONGA KWA KUFOJI CHETI CHA KIFO HUWA WANAOMBAGA RADHI MADHABAHUNI??
Wachungaji siyo miungu. Wanahukumu wao kama kinananiNIWAPE POLE SANA WAFIWA NAAMINI YANAAYOTOKEA SIO MAPENZI YAO KUJINYONGA BALI SHETANI
NAWAZA TU KWA NN WACHUNGAJI WANAGOMA KUSALISHA MISA YA MFU ALIEJINYONGA??
NA BAADA YA KUGUNDUA WAMESALISHA MTU ALIEJINYONGA KWA KUFOJI CHETI CHA KIFO HUWA WANAOMBAGA RADHI MADHABAHUNI??
Ukishajinyonga huwezi kusamehewa kwa sababu hauna hiyo chansi tena yaani wewe ni direct moja kwa moja motoni, hata ile rest in peace hutakiwi kusemewaWachungaji siyo miungu. Wanahukumu wao kama kinanani
Nashangaa mtu mzima na akili zake anawaita MANABII?
Yaani NABII anakaa masaki eti na anaendesha gari ya gharama iliyotoka hivi juzi tu
Nabii gani ana MABAUNSA??
Anayejinyonga anakuwa amejihukumu mwenyewe moja kwa moja, kuwa ni wa motoniKujinyonga sio akili ya mhusika ila ni pepo. Kifo ni kifo, wote wazikwe na kuombewa kwa usawa. Anaekataa kumuombea aliyejinyonga ni "mnafiki " anakumbuka kula sadaka tu.