Wapatikane 24/7.Legends mnasemaje, au mimi nnaangukiwa sana na wanaotumia Airtel vp?
Sababu asilimia 90 ya barmaid au pisi nlonao kwenye simu yangu namba zao ni za Airtel, leo nmekutana na kisu mmoja tena hapa ile kunipa namba naona ni Airtel.
Wadau inakuaje hii?
Kweli vocha ya jero inakuwa activeKweli?