Kwa nini Waisraeli hawataji mapiramidi kabisa katika maandiko yao ya Agano la kale?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Kwa kipindi kirefu na hata mpaka leo hii watu wengi sana wanashangazwa na piramidi za kale za Misri. Kuna mjadala mkubwa sana jinsi zilivyojengwa, ni nani waliozijenga na walipata hiyo teknolojia ya ujenzi. Piramidi ni sehemu ya maajabu saba makubwa zaidi ya dunia.

Jambo la kushangaza ni kwamba Waisraeli katika maandiko yao ya agano la kale hawataji kabisa kuhusu mapiramidi.

Inawezekanaje Pyramids zikakosena katika maandiko ya watu waliokaa utumwani kwa mamia ya miaka huko Misri? Kwamba hilo jambo halikuwa kubwa, la kushangaza, kufikirisha na uzito kwao wa kutajwa katika vitabu vyao?! Kuna jambo haliko sawa.
 
Mkuu, mbona unatuonea sisi kwa kutuuliza swali linalowahusu Waisraeli ilhali unajua sisi ni Wabongo? Kwani Waisraeli wenyewe hawapo ili wakujibu hoja yako?.
By the way; Unauhakika Umemaliza kuyasoma maandiko yote ya Waisraelli na kujiridhisha pasi na shaka kwamba pyramids hazijatajwa humo? Ila ujue kwa uhakika Waisraeli hawakuhusika katika ujenzi wa hayo mapiramids.
 
Kwa kipindi kirefu na hata mpaka leo hii watu wengi sana wanashangazwa na piramidi za kale za Misri. Kuna mjadala mkubwa sana jinsi zilivyojengwa, ni nani waliozijenga na walipata hiyo teknolojia ya ujenzi. Piramidi ni sehemu ya maajabu saba makubwa zaidi ya dunia.

Jambo la kushangaza ni kwamba Waisraeli katika maandiko yao ya agano la kale hawataji kabisa kuhusu mapiramidi.

Inawezekanaje Pyramids zikakosena katika maandiko ya watu waliokaa utumwani kwa mamia ya miaka huko Misri? Kwamba hilo jambo halikuwa kubwa, la kushangaza, kufikirisha na uzito kwao wa kutajwa katika vitabu vyao?! Kuna jambo haliko sawa.
Pyramids ni makaburi ya Mafarao wa zamani Misri na kabla ya kujengwa ilikuwa inatengenezwa kama handaki na kiongoz aliye fariki anahifadhiwa huko..

Urefu wa pyramid unategemea na cheo cha kiongozi (farao) aliye fariki.

Pia maandiko yapo yaliyo elezea hzo pyramid
 
Binafsi sijafuatilia Hilo lakini pyramids haziwezi kuwa product za binadamu moja Kwa moja, ni aidha other intelligent life ndo wamehusika au cooperation kati ya other intelligent beings na wanadamu, hata Leo tu tutastruggle kujenga Yale madude, nani kwamba zipo pyramids Kila sehemu duniani au tuseme Kila bara zipo, almost zinaonekana zinafanana yaani mjenzi ni mmoja au wana uhusiano Fulani hivi.
 
Ndege, computer vs pyramid kipi kimetumia akili kubwa ? Au pyramid kwa kuwa ni mawe makubwa. Kama uwepo wa compyuta tusingewakuta waliounda tungeamini kuwa ni aliens. Sawa hivi tunaenda na AI si kitoto haya mambo mnayachukulia poa kwa kuwa vinaundwa mkishuhudia ila they are amazing technology which prove the human capability.
Imagine karne ijayo watu watakuwa wanaenda MARS kama waendavyo USA.
Kwa nini hamuamini uwezo wa binadamu ?
Kaa chini tafakari mambo ambayo binadamu anayafanya.
We are aliens who built pyramid.
 
Pengine hayakuwastaajabisha sababu ni kitu walichojua kipo miaka mingi. Kumbuka mapiramidi yapo kabla ya Abraham, yamemzidi karibu miaka 500
 
Mijibya ghala Katika kitabu cha Kutoka ndo pyramids zenyewe
 
Ndege, computer vs pyramid kipi kimetumia akili kubwa ? Au pyramid kwa kuwa ni mawe makubwa. Kama uwepo wa compyuta tusingewakuta waliounda tungeamini kuwa ni aliens. Sawa hivi tunaenda na AI si kitoto haya mambo mnayachukulia poa kwa kuwa vinaundwa mkishuhudia ila they are amazing technology which prove the human capability.
Imagine karne ijayo watu watakuwa wanaenda MARS kama waendavyo USA.
Kwa nini hamuamini uwezo wa binadamu ?
Kaa chini tafakari mambo ambayo binadamu anayafanya.
We are aliens who built pyramid.
Usifananishe kipindi hicho na hivi Sasa katika suala la superiority kuhusu teknolojia, hivi jiwe la tofali la tani moja unalifahamu lilivyo kwanza?, pyramid of Giza tu ina stone blocks karibu milioni mbili, average ya block weigh in tani 2.5 Hadi 15, kumbuka hiyo ni average tu lakini yapo matofali Hadi yenye tani 90 Kwa moja, hebu niambie kama sisi tuko mbele kiasi hicho tumeshindwa vipi kutengeneza machines zenye kulift matani hayo miaka hata 1000 iliyopita?. Unasema ni mawe tu yaliyopangwa unajua yamepangwa precisely Kwa namna gani, kumbuka tunasema kuwa hao walikuwa ni watu duni kiteknolojia!.

Niambie Kuna watu gani watakaoweza kubeba tani zaidi ya 50 tena ni jiwe la tofali moja tu, tumia tu akili ya kawaida maana kipindi hicho kulingana na official history hakukuwapo na mashine za ukubwa wa kubeba hivyo vitu zaidi tu ya theories nyingi zinazoleta mkanganyiko au unataka useme ni wale watumwa waliokondeana?... Watu duni kiteknolojia wanawezaje kutengeneza pyramids zinazofanana Kwa mambo mengi tena dunia nzima.

Kama ni mawe tu yaliyopangwa niambie yamepangwaje na vifaa vilivyotumika kujengea Hadi kuyapandisha ni vipi?...lazima Kuna maarifa ambayo hatuyajui au yapo mahali au kulitokea cataclysm liloondoka na vitu vingi vya msingi kuhusu sayansi.
 
Kwa kipindi kirefu na hata mpaka leo hii watu wengi sana wanashangazwa na piramidi za kale za Misri. Kuna mjadala mkubwa sana jinsi zilivyojengwa, ni nani waliozijenga na walipata hiyo teknolojia ya ujenzi. Piramidi ni sehemu ya maajabu saba makubwa zaidi ya dunia.

Jambo la kushangaza ni kwamba Waisraeli katika maandiko yao ya agano la kale hawataji kabisa kuhusu mapiramidi.

Inawezekanaje Pyramids zikakosena katika maandiko ya watu waliokaa utumwani kwa mamia ya miaka huko Misri? Kwamba hilo jambo halikuwa kubwa, la kushangaza, kufikirisha na uzito kwao wa kutajwa katika vitabu vyao?! Kuna jambo haliko sawa.
Zilijengwa after wao kuondoka mwaka 1100B.C.

Wakati wao wameondoka 1600 B.C
 
Nimeunganishaje?
Soma kwa makini sijasema umeunganisha nimesema unataka kuzihusianisha ziende sambamba.

Unataka kujaribu kusema pyramid ilitakiwa ziwepo kwenye biblia kama sehemu ya hadithi za Wamisri.

Kama hivyo hata hadithi za pyramid ilitakiwa zizungumzie wamisri wa kwenye biblia!!
 
Tangu lini hao wayahudi feki walikuwa utumwani?

Hakuna ushahidi popote pale duniani unaoonesha hao fake Jews walishawekwa utumwani.

Vile vile hata Misri kihistoria haijawai kuhusika na utumwa wala kutumikisha taifa lolote lile, ushahidi haupo wa kihistoria wala kisayansi.

Vile vile ujenzi wa pyramids unafichwa uhalisia wake sababu waliojenga ni black people maelfu ya miaka kabla ya uvamizi wa hao waarabu walioiharibu Misri na kuifanya kama Taifa lao kumbe ni taifa la watu weusi.

Pyramids zingekuwa zinahusika na hao Wahuni watu weupe, basi wangeweza kujenga zingine au kupata taarifa ri zake zilijengwa vipi, ugumu na utata wa pyramids unakuja baada ya wale wahusika ambao ni watu weusi kwasasa hawana time nazo wala hawajishughulishi nazo, Sasa ni yupi mwingine wa kujua mambo hayo tofauti na wahusika?

Vile vile maandiko mengi nyakati za ukoloni yaliharibiwa na hao hao wakoloni na kupotea kwa stories, pia baadhi ya mababu wa kiafrika waliogoma kutoa Siri sayansi ya ujenzi wa majengo ya ajabu walikufa nazo, so hakuna namna hizo taarifa zitapatikana popote duniani mpaka muafrika mwenyewe aamke na kurudisha ufahamu wa babu zake waliotenda maajabu.
 
Binafsi sijafuatilia Hilo lakini pyramids haziwezi kuwa product za binadamu moja Kwa moja, ni aidha other intelligent life ndo wamehusika au cooperation kati ya other intelligent beings na wanadamu, hata Leo tu tutastruggle kujenga Yale madude, nani kwamba zipo pyramids Kila sehemu duniani au tuseme Kila bara zipo, almost zinaonekana zinafanana yaani mjenzi ni mmoja au wana uhusiano Fulani hivi.
Hizi stories za kusingizia Kuna viumbe tofauti na binadamu wakifanya ujenzi dunian, huo ni upuuzi ulioanzishwa na wazungu kwa malengo ya kuficha ukuu wa mtu mweusi ktk sayansi ya ujenzi, ukitaka kuwakamata na uongo wao jiulize mbona hao viumbe hawarudi nyakati hizi? Mbona hakuna ushahidi wa hao viumbe?, msidanganywe muda wa uongo ushapita
 
Infact, Wamisri wa kale wa kwenye biblia walikuwepo misri kipindi pyramids zilishajengwa tayari na Wamisri wa kale zaidi, Hivyo wamisri wa biblia na Wamisri waliojenga pyramids ni hadithi mbili tofauti!!

Screenshot_20250105-212701~2.png
 
Kwa kipindi kirefu na hata mpaka leo hii watu wengi sana wanashangazwa na piramidi za kale za Misri. Kuna mjadala mkubwa sana jinsi zilivyojengwa, ni nani waliozijenga na walipata hiyo teknolojia ya ujenzi. Piramidi ni sehemu ya maajabu saba makubwa zaidi ya dunia.

Jambo la kushangaza ni kwamba Waisraeli katika maandiko yao ya agano la kale hawataji kabisa kuhusu mapiramidi.

Inawezekanaje Pyramids zikakosena katika maandiko ya watu waliokaa utumwani kwa mamia ya miaka huko Misri? Kwamba hilo jambo halikuwa kubwa, la kushangaza, kufikirisha na uzito kwao wa kutajwa katika vitabu vyao?! Kuna jambo haliko sawa.
Hata Sudan pia kuna mapyramidi
 
Back
Top Bottom