Mkuu, mbona unatuonea sisi kwa kutuuliza swali linalowahusu Waisraeli ilhali unajua sisi ni Wabongo? Kwani Waisraeli wenyewe hawapo ili wakujibu hoja yako?.Kwa kipindi kirefu na hata mpaka leo hii watu wengi sana wanashangazwa na piramidi za kale za Misri. Kuna mjadala mkubwa sana jinsi zilivyojengwa, ni nani waliozijenga na walipata hiyo teknolojia ya ujenzi. Piramidi ni sehemu ya maajabu saba makubwa zaidi ya dunia.
Jambo la kushangaza ni kwamba Waisraeli katika maandiko yao ya agano la kale hawataji kabisa kuhusu mapiramidi.
Inawezekanaje Pyramids zikakosena katika maandiko ya watu waliokaa utumwani kwa mamia ya miaka huko Misri? Kwamba hilo jambo halikuwa kubwa, la kushangaza, kufikirisha na uzito kwao wa kutajwa katika vitabu vyao?! Kuna jambo haliko sawa.
Pyramids ni makaburi ya Mafarao wa zamani Misri na kabla ya kujengwa ilikuwa inatengenezwa kama handaki na kiongoz aliye fariki anahifadhiwa huko..Kwa kipindi kirefu na hata mpaka leo hii watu wengi sana wanashangazwa na piramidi za kale za Misri. Kuna mjadala mkubwa sana jinsi zilivyojengwa, ni nani waliozijenga na walipata hiyo teknolojia ya ujenzi. Piramidi ni sehemu ya maajabu saba makubwa zaidi ya dunia.
Jambo la kushangaza ni kwamba Waisraeli katika maandiko yao ya agano la kale hawataji kabisa kuhusu mapiramidi.
Inawezekanaje Pyramids zikakosena katika maandiko ya watu waliokaa utumwani kwa mamia ya miaka huko Misri? Kwamba hilo jambo halikuwa kubwa, la kushangaza, kufikirisha na uzito kwao wa kutajwa katika vitabu vyao?! Kuna jambo haliko sawa.
Ndege, computer vs pyramid kipi kimetumia akili kubwa ? Au pyramid kwa kuwa ni mawe makubwa. Kama uwepo wa compyuta tusingewakuta waliounda tungeamini kuwa ni aliens. Sawa hivi tunaenda na AI si kitoto haya mambo mnayachukulia poa kwa kuwa vinaundwa mkishuhudia ila they are amazing technology which prove the human capability.Binafsi sijafuatilia Hilo lakini pyramids haziwezi kuwa product za binadamu moja Kwa moja, ni aidha other intelligent life ndo wamehusika au cooperation kati ya other intelligent beings na wanadamu, hata Leo tu tutastruggle kujenga Yale madude, nani kwamba zipo pyramids Kila sehemu duniani au tuseme Kila bara zipo, almost zinaonekana zinafanana yaani mjenzi ni mmoja au wana uhusiano Fulani hivi.
Usifananishe kipindi hicho na hivi Sasa katika suala la superiority kuhusu teknolojia, hivi jiwe la tofali la tani moja unalifahamu lilivyo kwanza?, pyramid of Giza tu ina stone blocks karibu milioni mbili, average ya block weigh in tani 2.5 Hadi 15, kumbuka hiyo ni average tu lakini yapo matofali Hadi yenye tani 90 Kwa moja, hebu niambie kama sisi tuko mbele kiasi hicho tumeshindwa vipi kutengeneza machines zenye kulift matani hayo miaka hata 1000 iliyopita?. Unasema ni mawe tu yaliyopangwa unajua yamepangwa precisely Kwa namna gani, kumbuka tunasema kuwa hao walikuwa ni watu duni kiteknolojia!.Ndege, computer vs pyramid kipi kimetumia akili kubwa ? Au pyramid kwa kuwa ni mawe makubwa. Kama uwepo wa compyuta tusingewakuta waliounda tungeamini kuwa ni aliens. Sawa hivi tunaenda na AI si kitoto haya mambo mnayachukulia poa kwa kuwa vinaundwa mkishuhudia ila they are amazing technology which prove the human capability.
Imagine karne ijayo watu watakuwa wanaenda MARS kama waendavyo USA.
Kwa nini hamuamini uwezo wa binadamu ?
Kaa chini tafakari mambo ambayo binadamu anayafanya.
We are aliens who built pyramid.
Zilijengwa after wao kuondoka mwaka 1100B.C.Kwa kipindi kirefu na hata mpaka leo hii watu wengi sana wanashangazwa na piramidi za kale za Misri. Kuna mjadala mkubwa sana jinsi zilivyojengwa, ni nani waliozijenga na walipata hiyo teknolojia ya ujenzi. Piramidi ni sehemu ya maajabu saba makubwa zaidi ya dunia.
Jambo la kushangaza ni kwamba Waisraeli katika maandiko yao ya agano la kale hawataji kabisa kuhusu mapiramidi.
Inawezekanaje Pyramids zikakosena katika maandiko ya watu waliokaa utumwani kwa mamia ya miaka huko Misri? Kwamba hilo jambo halikuwa kubwa, la kushangaza, kufikirisha na uzito kwao wa kutajwa katika vitabu vyao?! Kuna jambo haliko sawa.
Hadithi za Pyramids na Hadithi za biblia!!Hadithi mbili zipi tofauti??
Soma kwa makini sijasema umeunganisha nimesema unataka kuzihusianisha ziende sambamba.Nimeunganishaje?
Hizi stories za kusingizia Kuna viumbe tofauti na binadamu wakifanya ujenzi dunian, huo ni upuuzi ulioanzishwa na wazungu kwa malengo ya kuficha ukuu wa mtu mweusi ktk sayansi ya ujenzi, ukitaka kuwakamata na uongo wao jiulize mbona hao viumbe hawarudi nyakati hizi? Mbona hakuna ushahidi wa hao viumbe?, msidanganywe muda wa uongo ushapitaBinafsi sijafuatilia Hilo lakini pyramids haziwezi kuwa product za binadamu moja Kwa moja, ni aidha other intelligent life ndo wamehusika au cooperation kati ya other intelligent beings na wanadamu, hata Leo tu tutastruggle kujenga Yale madude, nani kwamba zipo pyramids Kila sehemu duniani au tuseme Kila bara zipo, almost zinaonekana zinafanana yaani mjenzi ni mmoja au wana uhusiano Fulani hivi.
Pigia mstarilazima Kuna maarifa ambayo hatuyajui au yapo mahali au kulitokea cataclysm liloondoka na vitu vingi vya msingi kuhusu sayansi.
Hata Sudan pia kuna mapyramidiKwa kipindi kirefu na hata mpaka leo hii watu wengi sana wanashangazwa na piramidi za kale za Misri. Kuna mjadala mkubwa sana jinsi zilivyojengwa, ni nani waliozijenga na walipata hiyo teknolojia ya ujenzi. Piramidi ni sehemu ya maajabu saba makubwa zaidi ya dunia.