Kwa nini Waisraeli hawataji mapiramidi kabisa katika maandiko yao ya Agano la kale?

1. Maandiko yalilenga imani na ukombozi wa Waisraeli, si historia ya Misri.

2. Piramidi zilijengwa kabla ya kipindi cha utumwa wa Waisraeli.

3. Hakuna ushahidi kwamba Waisraeli walikuwa wa mwanzo kujenga na piramidi. Inawezekana Walihusishwa tu katika kuongezea mengine. Ila yalishakuwepo.

4. Piramidi zilihusishwa na dini za kipagani zisizofaa kwa simulizi za Waisraeli.

5. Ukimya unaouongelea kuhusu piramidi unadhihirisha msisitizo wa kiimani, si kihistoria
 
NAKAZIA
 

NAKAZIA
 
Siyo upuuzi , ushahidi upo duniani kote labda kama hufuatilii tu, lazima akili yako iwe free Ili uweze kuchanganua baadhi ya mambo. Haya niambie wewe huyo mtu mweusi unayesemea Yuko wapi Sasa hivi?, nakuuliza mtu mweusi Yuko wapi Sasa hivi?. Ina maana miaka yote hiyo Bado tu tunalaumu wazungu Kwa upumbavu wetu wenyewe.

Si ndio sisi tunahangaika huku duniani, haya niambie fantastic structures kama pyramids za kule Peru, mexico, USA, Antarctica, Tibet, Lebanon na sehemu nyingine duniani zilijengwa na mtu mweusi? Si ndo tunasema walikuwa primitive, haya sema pyramids za mexico nazo za mtu mweusi wakati zinafanana na Kwa kiasi kikubwa na za Egypt... Tukubali tu Kuna maarifa mengi yalipotea au yapo mahali ambayo yangetusaidia Leo tungekuwa mbali, lazima Kuna sayansi kubwa mahali ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…