bahatikisiya
Senior Member
- Jan 19, 2014
- 139
- 13
Nime kuwa nkifuatilia kwa makini sa na mijadala inayo endea na wajumbe wa bunge maalum la katiba nimegundua kuwa wale wajumbe wanao onekana ni wa bunge au wajumbe wa CCM hoja na michango yao ina fanana.Hapo ndipo napata wasiwasi kuhusu kupata katiba ile ambayo wana nchi tunaitaka.Kwa mfan😵le Sendeka akichangia jambo atacbangia lilelile alilo lichangia Ummy Mwalim.akitokea mmoja ametoa hoja hata kama haina mashiko lazima wajumbe wa ccm waiunge mkono.ni wapongeze sana wajumbe wachache wa CCM Kama Ester bulaya mara nyingi wa bunge hawa wame kuwa mbali na ushabiki na kuto fuata upepo.na Watanzania kama hatuta wakemea na kuwa sema wajumbe wa kufuata upepo basi tutegenee kupata katiba mbaya au hata kuto pata katiba kabisa.Mimi binafsi nilicho gundua kwa wajumbe hawa fuata upepo ni kwamba tangu kuanza kwa mchakato wa kupata katiba CCM hawa kuwa tayari kuanzishwa kwa mchakato huo. kwa namna hiyo tutarajie kukwamishwa kwa mambo mengi huko mjengon.