Kwa nini wajumbe wa bunge maalum la katiba hoja zao zina fanana Hasa wale wabunge wa CCM?

bahatikisiya

Senior Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
139
Reaction score
13
Nime kuwa nkifuatilia kwa makini sa na mijadala inayo endea na wajumbe wa bunge maalum la katiba nimegundua kuwa wale wajumbe wanao onekana ni wa bunge au wajumbe wa CCM hoja na michango yao ina fanana.Hapo ndipo napata wasiwasi kuhusu kupata katiba ile ambayo wana nchi tunaitaka.Kwa mfan😵le Sendeka akichangia jambo atacbangia lilelile alilo lichangia Ummy Mwalim.akitokea mmoja ametoa hoja hata kama haina mashiko lazima wajumbe wa ccm waiunge mkono.ni wapongeze sana wajumbe wachache wa CCM Kama Ester bulaya mara nyingi wa bunge hawa wame kuwa mbali na ushabiki na kuto fuata upepo.na Watanzania kama hatuta wakemea na kuwa sema wajumbe wa kufuata upepo basi tutegenee kupata katiba mbaya au hata kuto pata katiba kabisa.Mimi binafsi nilicho gundua kwa wajumbe hawa fuata upepo ni kwamba tangu kuanza kwa mchakato wa kupata katiba CCM hawa kuwa tayari kuanzishwa kwa mchakato huo. kwa namna hiyo tutarajie kukwamishwa kwa mambo mengi huko mjengon.
 
sendeka kaongea mara nyingi sana kwani bunge ni lake peke yake.Tumemchoka.
 
Umeandika nini sasa kamasiyo kujaza uchafu huku peleka Facebook bhana
 
CCM wanarasimu yao mfukoni Sendeka kahongwa kuisambaza na kuitetea
 
Umeandika nini sasa kamasiyo kujaza uchafu huku peleka Facebook bhana

Kwa hiyo kumbe Zitto, Ridhwan wanaopenda kuandika mambo ya kupitia Facebook kumbe huwa wanaandika Uchafu? Lakini cha kushangaza uchafu huo nyie wapambe wao huwa mnauleta huku JF
 
ccm ni chama cha washenzi na wahuni wakubwa
 
Kwa hiyo kumbe Zitto, Ridhwan wanaopenda kuandika mambo ya kupitia Facebook kumbe huwa wanaandika Uchafu? Lakini cha kushangaza uchafu huo nyie wapambe wao huwa mnauleta huku JF

CCM ni sawa na vile vi-mnyama vinavyokun.ya pamoja. Alipokunya Pinda (read alilosema) ndipo wajumbe wote wa CCM watakapokwenda kuny.a (read watachosema). There is no independent thinking in CCM. kwa Wale wazee wenzangu mtakumbuka enzi za chama kimoja hata kuongea/kuhutubia viongozi wote wa CCM walikuwa wakimuiga Nyerere (read kun.ya kama Nyerere)
 
Back
Top Bottom