Wengi kama sio wote kati ya wajumbe wa mabaraza ya Katiba Mpya toka CCM-kwa mujibu wa vyombo vya habari wanapingana na mapendekezo ya Tume ya Katiba ya Jaji Mstaafu J.S.Warioba kuwa Muundo wa Serikali Tatu na wanataka tuendelee na mbili kama ilivyo sasa kwa visingizio vya ajabu kama gharama,kwani sasa hawaoni jinsi serikali ya sasa inavyoendeshwa kwa gharama kubwa sana?

Kwa hiyo kwa vile sasa tunaendesha serikali kwa gharama unataka tuwe na serikali nyingine ili tuendeshe kwa gharama zaidiWengi kama sio wote kati ya wajumbe wa mabaraza ya Katiba Mpya toka CCM-kwa mujibu wa vyombo vya habari wanapingana na mapendekezo ya Tume ya Katiba ya Jaji Mstaafu J.S.Warioba kuwa Muundo wa Serikali Tatu na wanataka tuendelee na mbili kama ilivyo sasa kwa visingizio vya ajabu kama gharama,kwani sasa hawaoni jinsi serikali ya sasa inavyoendeshwa kwa gharama kubwa sana?
Wamepata hizo nafasi ili kupinga serikali tatu. Huko Iringa (kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi) mtifuano umeshaanza. Njaa na kutojitambua ni sumu mbaya sana.Chama tawala kimekuwa chama pinzani.
Pia hawaungi mkono serikali tatu kwa vile hawaielewi. Huwezi kuacha mke ambaye umeishi naye muda mrefu mkiwa mmepitia katika aina tofauti za mafanikio na matatizo hadi mmefikia takriban miaka 49. Bado mwaka mmoja tusherehekee Jubilei ya miaka 50 ya ndoa yetu. Leo hii mnaachana kwa kutegemea mwenza ambaye hamjuani. Au umeishi na mke mmoja kwa muda mrefu. Baada ya kuona kuwa migogoro ya ndani imezidi, we unakimbilia kuongeza mke wa pili eti ndo unatatua kero za ndoa ya kwanza. Huo si utakuwa ulofa?
unadhan huo ni mfano mzuri kuutoa? Mind you, hizi ni nchi mbili sio watu wawili! Afu uko tayari kuwa contain watu wenye kutaka kujitenga? Utatumia mbinu gani? Usikaririshwe vitu siku za usoni unaweza kuja kujiona mjinga! Ikianza revolution struggle ya watu kujitenga utaopt nini? Vita? Mabomu? au? Tafakali na utumie akili saana, narudia usukaririshwe vitu!Pia hawaungi mkono serikali tatu kwa vile hawaielewi. Huwezi kuacha mke ambaye umeishi naye muda mrefu mkiwa mmepitia katika aina tofauti za mafanikio na matatizo hadi mmefikia takriban miaka 49. Bado mwaka mmoja tusherehekee Jubilei ya miaka 50 ya ndoa yetu. Leo hii mnaachana kwa kutegemea mwenza ambaye hamjuani. Au umeishi na mke mmoja kwa muda mrefu. Baada ya kuona kuwa migogoro ya ndani imezidi, we unakimbilia kuongeza mke wa pili eti ndo unatatua kero za ndoa ya kwanza. Huo si utakuwa ulofa?