Kwa nini wakenya wengi wana miguu mwembamba isiyo na uwiano na mwili?

Status
Not open for further replies.

matunge

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
442
Reaction score
426
Hiki ni kitu halisi, nilikishuhudia Nairobi. Karibu wakenya wote miili yao ina miguu miembamba. Je ni kwamba wanakosa lishe wakati wa malezi?

Hii ni tofauti kabisa na Tanzania na Uganda watu wake wamejaaliwa kuwa na miguu ya bia, na hips kwa wanawake.

Ikiwa kuna mtaalamu naomba atufahamishe sababu.
 
Huoni wakenya na miguu yao membamba wanaleta nyumbani medali za dhahabu kwenye mbio huko olympic n.k

Wachezaji wao akina Marega, Wanyama, "Origi".. Wapo ulaya wanasakata kabumbu na miguu yao membamba..

Sisi wengine miguu hiyo tuichezee kisingeli tu hamna jipya
 
We ni mjaluo?
 
Ukweli mtupu! Ingawa ata Tz kuna makabila yana shape hizo ila ni machache sana. Kwa Kenya ni kama wote wana miguu kama spoku [emoji23]. Kidogo wajuluo maana wana sifika kuwa na vitu vikubwa, pua, midomo, masikio, vigimbi e.t.c
 
Tatizo kuu ni ukabila... Unajua ilikuweza kuwa na kuwa na binadamu aliyeimarika lazima itokee mchanyiko kidogo....Ndo maana huwa aishauriwi kuowa kwenye ukoo mmoja...Hawa majirani hawachanganikani kiu kabila...Ndomaana hata akili zao zinazidi kudumaa kadri siku zinavyo kwenda...
 
Duh.
 
hogwash
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Hizo medali wanagawana??
 
Ni kwa nini watanzania wakaongiza dunia mzima kwa uvivu? INA maana kuwa intermarriages kati ya makabila Kule imechangia upungufu huu? mulisaaa una jibu halisi?
 
Ni kwa nini watanzania wakaongiza dunia mzima kwa uvivu? INA maana kuwa intermarriages kati ya makabila Kule imechangia upungufu huu? mulisaaa una jibu halisi?
Vipi wewe unavaaga kaptula kweli... au ukivaa bukta unawatisha watoto, wana anza kulia waki hisi wameona kiumbe kutoka Mars [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hizo medali wanagawana??
Wanaipa Kenya International Recognition and Exposure.

We angalia Kenya inatukimbiza katika sekta ya utalii ingawa sisi tuba vivutio karibu mara tatu zaidi yao..

Jiongeze dingoo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…