Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatukimbizaje kwenye utalii? naomba uni elimishe chalii yanguWanaipa Kenya International Recognition and Exposure.
We angalia Kenya inatukimbiza katika sekta ya utalii ingawa sisi tuba vivutio karibu mara tatu zaidi yao..
Jiongeze dingoo
Hawakujiumba
Wana miguu myembamba Ila akili nene
Isipokuwa wachaga! Miili ya wachaga na wakenya vinafananaHiki ni kitu halisi, nilikishuhudia Nairobi. Karibu wakenya wote miili yao ina miguu miembamba. Je ni kwamba wanakosa lishe wakati wa malezi?
Hii ni tofauti kabisa na Tanzania na Uganda watu wake wamejaaliwa kuwa na miguu ya bia, na hips kwa wanawake.
Ikiwa kuna mtaalamu naomba atufahamishe sababu.
Hiki ni kitu halisi, nilikishuhudia Nairobi. Karibu wakenya wote miili yao ina miguu miembamba. Je ni kwamba wanakosa lishe wakati wa malezi?
Hii ni tofauti kabisa na Tanzania na Uganda watu wake wamejaaliwa kuwa na miguu ya bia, na hips kwa wanawake.
Ikiwa kuna mtaalamu naomba atufahamishe sababu.