Kwa nini wakenya wengi wana miguu mwembamba isiyo na uwiano na mwili?

Status
Not open for further replies.
sijawahi fika kenya,walifika watuambie ukweli huo
 
Wanaipa Kenya International Recognition and Exposure.

We angalia Kenya inatukimbiza katika sekta ya utalii ingawa sisi tuba vivutio karibu mara tatu zaidi yao..

Jiongeze dingoo
Inatukimbizaje kwenye utalii? naomba uni elimishe chalii yangu
 
Hawakujiumba

Ahaaa haaa haaa
kumbe wee hujui kutengeneza issue. na sisi pia tunachangia kufanya uumbaji. wee mwanamke unajiona kabisa kuwa kifupi kama kistuli, halafu unaolewa na kistuli mwenzako, unategemea mtoto wenu mtakaye mzaa atakuwaje?
Teh teh teh tihiii
kistuli kipeo cha n,
na n~ 1, 2, 3 . . .
 
Isipokuwa wachaga! Miili ya wachaga na wakenya vinafanana
 


Ndiyo maana uganda na Tanzania hakuna wanariadha kama Kenya, kwa sababu miguu ya watz na waganda ni mizito kama miguu ya Tembo, hiyo ni "genetic issue".
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…