Kwa nini wakenya wengi wanapenda Umbea na udaku

Kwa nini wakenya wengi wanapenda Umbea na udaku

Subiri waje na usikimbie mada maana umejitakia.
 
Ukishakula ukashiba na ukawa na akiba kwanini usijifurahishe...
 
Watanzania umbea umewazidi hamna maendeleo yoyote ni kufuatiliana tu
 
Sasa wewe ndo mdaku na mmbea wa kwanza maana uzi wako wenyewe uko kiudaku udaku vile
 
Kwa hili wakenya unawasingizia,nimeishi kenya nimeishi tz nadhani kwa afrika mashariki Tz tunabeba bendera kwa sifa hizo, nenda insta ndio utajua
 
Kwa hili wakenya unawasingizia,nimeishi kenya nimeishi tz nadhani kwa afrika mashariki Tz tunabeba bendera kwa sifa hizo, nenda insta ndio utajua

Mi nimeishi Kenya kwa kweli nilifurahia sana no majungu, no umbeya, no kutafutana watu wako busy kutafuta chapaa. Hakuna muda wa umbeya sijui nani kavaa nini kama hapa kwetu
 
Mi nimeishi Kenya kwa kweli nilifurahia sana no majungu, no umbeya, no kutafutana watu wako busy kutafuta chapaa. Hakuna muda wa umbeya sijui nani kavaa nini kama hapa kwetu
Kenya internet ni ghali sana, kwahiyo imesaidia sana kuwafanya wakenya wasiwe busy na mitandao, hapa kwetu fb whataap bure,net kawaida pia rahisi sana watu badala kufanya kazi wanakesha kupiga umbea tu, kenya hakuna mambo haya ya umbea unawasingizia
 
Sijasema wakenya wambeya Bali nimewasifia hawana muda na majungu internet nimeishi huko sijaona kama ni ghali nadhani ni hulka na via za watu whether muwe na internet au hakuna kwa Tanzania umbeya utapigwa tu
 
Kwa nn wakenya wengi wanapenda Umbea na udaku kwenye forum kuliko kuleta mada zenye hoja za msingi
Says a Tanzanian on a Kenyan forum
In Tanzania
Whose parliament keeps bringing up Kenya on Evrything they discuss
 
mi nazani kwa umbeya sisi wabongo hatuna mshindani dunia nzima tunaongoza.

Wakenya huwa tunashindana mengi lakn hili hawatuwezi
 
Back
Top Bottom