ndechilio shoo
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 997
- 365
Hivi mtu ukimaliza C B E utajiita msomi? Wakati una D 3 za olev umekomaa mpaka masters! Ndo maana product za c b e ni mbovu sana alafu wengi walioferi ndo wapo pale kwanini? Wasipelekwe wakasome kilimo?
ukitaka ma.la.Ya wapo C B E,I FM kweli kazi C b E hakuna div 1 au 2 wote ni div 4 na 3 zilizokufa kweli majanja
umetoswa na kidemu cha hapo nini?
Div 3 mtu anakua kafeli ama?
Hata wewe mwenyewe unaonekana ume 'FERI '
Hivi mtu ukimaliza C B E utajiita msomi? Wakati una D 3 za olev umekomaa mpaka masters! Ndo maana product za c b e ni mbovu sana alafu wengi walioferi ndo wapo pale kwanini? Wasipelekwe wakasome kilimo?
hajui kama kuna div 5
yeye kasema div 3... Hiyo 5 kwani imeanza kufanya kazi?