kWA NINI WALIOFERI WAPO C B E?

kWA NINI WALIOFERI WAPO C B E?

ndechilio shoo

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
997
Reaction score
365
Hivi mtu ukimaliza C B E utajiita msomi? Wakati una D 3 za olev umekomaa mpaka masters! Ndo maana product za c b e ni mbovu sana alafu wengi walioferi ndo wapo pale kwanini? Wasipelekwe wakasome kilimo?
 
ukitaka ma.la.Ya wapo C B E,I FM kweli kazi C b E hakuna div 1 au 2 wote ni div 4 na 3 zilizokufa kweli majanja
 
mbona unashambulia wadada / watoto wa kule wapo classic mzeeiya kama ulitegemea ka slope rudi home ukajipange...
Unafikiri chuo gani wanafunzi wake wana akili yaani zinaendaga Div 1 na Div 2?

ukitaka ma.la.Ya wapo C B E,I FM kweli kazi C b E hakuna div 1 au 2 wote ni div 4 na 3 zilizokufa kweli majanja
 
Mtoa mada ni binadamu mwenye ubongo wa mjusi....anachojua yeye ulimwengu wote upo juu ya mti anaokaa yeye..
 
Wamefeli maisha au mitihani halafu shida ya tz ni kupata div name sio matokeo ya div .big problem
 
Hivi mtu ukimaliza C B E utajiita msomi? Wakati una D 3 za olev umekomaa mpaka masters! Ndo maana product za c b e ni mbovu sana alafu wengi walioferi ndo wapo pale kwanini? Wasipelekwe wakasome kilimo?
20486804.jpg
 
Hili jamaa akili halina, afu ukute lipo kijijin huko limewaza na kuwazua lipost nn jf watu walisifie ndo limekuja na hoja ya Kudis," kwa mwendo huuu kuna hatar ya kupata Rais Shoga"
 
ningekuwa mzazi wako ningekukana kuanzia leo. ila watake radhi wanachuo wenzetu
 
yeye kasema div 3... Hiyo 5 kwani imeanza kufanya kazi?

nadhani hukunielewa,namaana kwamba,kama anadai div 3 ni kufeli na div 5 atasemaje? Ndiyo msingi wa hoja yangu..
 
Back
Top Bottom