potential girl
Member
- Aug 7, 2013
- 71
- 15
Mtoa mada kwani kilimo ndio hakihitaji watu waliofaulu? Halafu acha kudharau chuo wala mtu yeyote....mradi uelewe namna ya kutumia elimu wanayoipata huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukitaka ma.la.Ya wapo C B E,I FM kweli kazi C b E hakuna div 1 au 2 wote ni div 4 na 3 zilizokufa kweli majanja
wew nae ndo umejibu nini hapo mbona povu tu..UDSM imeingiaje hapo:israel::israel:Hongera sana wewe uliefaulu na kumaliza UDSM na first class lakini upo kwenu bush huko mwaka wa 3 mtaani ujielewi elewi unaishije..
Maisha ni zaidi ya kutosoma CBE kijana
Hivi mtu ukimaliza C B E utajiita msomi? Wakati una D 3 za olev umekomaa mpaka masters! Ndo maana product za c b e ni mbovu sana alafu wengi walioferi ndo wapo pale kwanini? Wasipelekwe wakasome kilimo?
Xaxa ivi mmeamia cbe, udom mmepapotezea mi nasubri zamu ya T.I.A
yeye kasema Div 3... hiyo 5 kwani imeanza kufanya kazi?
Umetoswa na kidemu cha hapo nini?
Div 3 mtu anakua kafeli ama?
Wewe nawe kweli hamnazo! mpaka leo haujui maana ya fail? kama haujui fail= Div 0 hauwezi kusema 3 au 4 ni fail maana hizo ni pass.